Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kariakoo siyo downtown, hayo ni makazi ya watu lakini maghorofa hayo hayadondoki, walioyajenga ni watanzania wala siyo wageni, serikali inawanalazimisha kufuata kanuni zote za ujenzi.
That is only one residential area. In Nairobi almost all residential areas are crowded with highrises
 
Julius Mwale - another Kenyan Tech wizard who's building a tech city in his home village in Western Kenya.
Chamoto
Are there intelligent Kenyans? Absolutely, only an idiot would think otherwise but we're talking about this matter collectively. When you have a shear number of buildings collapsing several times a year, one would be hard pressed to believe you have a good education system.
 
Nairobi
img_18_1695142023074.jpg
 
Watanzania Ushamba wakidhani wao ndio wana mabasi. Wanapiga mabasi picha kila saa maana ni jambo geni kwao. Haya mambo ni kawaida huku Kenya
img_5_1695141418878.jpg
img_4_1695141386852.jpg
img_3_1695141356702.jpg
img_7_1695141456034.jpg
img_16_1695141898985.jpg
img_3_1695141356702.jpg
img_9_1695141502083.jpg
img_6_1695141441109.jpg
img_8_1695141472142.jpg
 
Are there intelligent Kenyans? Absolutely, only an idiot would think otherwise but we're talking about this matter collectively. When you have a shear number of buildings collapsing several times a year, one would be hard pressed to believe you a have a good education system.
I already made a comprehensive post on buildings but you've conveniently chosen to ignore it. It's really pointless to argue with someone who's hellbent on misunderstanding you.🚮
 
1. Kama huoni startups then blame it on yourself for lack of knowledge.
2. Hayo madaraja yenu yamejengwa na foreign engineers. Hiyo SGR yenu imejengwa na foreign engineers. Sasa impact ya masomo yenu iko wapi?
Madaraja yanasanifiwa (designed) na wahandisi wa kitanzania, wakandarasi wa nje ni wajenzi tuu. Reli, kweli imesanifiwa na kujengwa na wahandisi wa nje pamoja na watanzania.
3. Saa zingine nyie huwa mnaongea kama wapuuzi sana. The difference between Kenyan education ni kwamba your pre-university happens in high school, our pre-university happens in university. Form 5 Form 6 kama ndio kitu inakufanya uone masomo yenu yako juu then uko na shida ya kiakili. Our education system for engineering was 8-4-5 - meaning 8 years primary, 4 years high school and 5 years university. Yours is 7-6-4. Thats a total of 17 years in both cases. Remember hiyo system ya 7-4-6 tulikuwa nayo tukaitoa.
Naona unachanganya idadi ya madarasa na elimu, idadi ya madarasa yaweza kuwa sawa lakini unachofundishwa kikawa tofauti.

Mwalimu wangu wa Pure Math, alikuwa ni Sikh (singa singa), katika career yake alifundisha India, UK na Kenya. Baadae Aga Khan walimwomba aje kuwa head master wa shule yao Tanzania.

Siku moja wakati anafundisha alituambia, "alishanga sana alipokuja kufundisha Tanzania kuona how robust our education system is". Alisema, "nchi nyingi alizofundisha zilishaondoa baadhi ya courses ambazo zilikuwepo zamani ili kurahisisha elimu, ila Tanzania alizikuta.
Nyie hamjawai kuwa na 8-4-5.
Huo mfumo wa primary education kuwa na madarasa 8 tulikuwa nao zamani. My parents na grand parents walisoma hiyo system. Hii ya darasa la saba ilianza 70's .
Hivi between Kenya na Tanzania ni nchi gani ime-export more professionals than nyingine?
Ku-export professionals wengi siyo sifa bali ni dalili ya nchi husika kushindwa kutengeneza ajira.
Are you aware your tallest building was designed by a Kenyan? Are you aware your parliament building was designed by a Kenyan?
Kuna wakati Tanzania huwa wanaajiri watu wa nje ili wapige pesa. Wanaajiri mtu wa nje ili wa justify gharama kubwa, wakitumia wabongo itakuwa ngumu kudangaya.
4. Issue ya majengo kuanguka, there are two explanations to it. the first one is the fact that Dar es Salaam which has mostly quatzite soils has a much higher soil bearing pressure than Nairobi which has red soil to the west and black cotton the East. Secondly,
Water table Dar iko juu sana, kwa nini magorofa yetu hayaanguki?.
Developing countries normally have two sections - a well regulated section and a section of unregulated construction where most of the average people live (what you guys call Uswazi). Nairobi's version of Úswazi' is mostly highrise buildings. Dar's uswazi is single level buildings. Do you expect such buildings to collapse? Show me a collapsed commercial building in Nairobi. Despite that, very few buildings in Nairobi actually collapse - it's only your obsession that fusses over it like flies on stool.

Look at this photo where the average Darlite lives. Look at the uncontrolled construction. Now tell me if those were all highrises like these in Nairobi, imagine how many collapses you'd have in a year.
We've high rises all over the place in Dar, even the uswazi areas like Mbagala have some, we don't witness anything of the likes of Nairobi.
Lastly but not least. Kama masomo yenu ni bora kuliko yetu mbona Watanzania wengi wanaojiweza wanakuja kusomea Kenya yet Wakenya hawaji kusomea Tanzania?
Wengi wanaokuja kusoma Kenya, wanakuwa wameshindwa elimu ya Tanzania.
 
We do have high rise buildings sprinkled around the city, areas like Ilala, Magomeni and kinondoni have a good number of those.
Buildings moja moja within a city more than twice the land size of Nairobi. Nionyeshe any apartment with more than 15 floors in Dar. Hazianguki Dar es Salaam ju haziko. Past Ubungo hakuna any highrise building, actually hapo ndio Dar inaishia. Hizo estates zingine ni mashambani tu.
 
We've high rises all over the place in Dar, even the uswazi areas like Mbagala have some, we don't witness anything of the likes of Nairobi.
This just proves you have never been to Nairobi. Ama labda mwisho ulikuja ni 2015
 
Back
Top Bottom