Mkundustan anaongelea Education system 😂 anakandia ujamaa, Kuna nchi ya Kijamaa imefanya mambo mengi ya kuwainua kuliko upepari uchwara usioendana na sura zao.
Angalia maeneo ambayo ni wao wenyewe wamatumbi wanavyotembelea Kichwa 😂
Ondoa maeneo yenye nguvu kutoka nje halafu angalia achievement zao wenyewe . Unakuta hata sufuria ya ugali hawawezi afford kuiosha😂
Barabara nzuri kwao - External force ( kajenga mchina na anamiliki mchina) Bongo barabara nzuri - Kajenga kampuni ya kizawa na ni mali ya watanzania
majengo marefu jijini kwao - kajenga mchina na anamiliki mchina
Dar - Gvt parastatals ( Hela za watanzania kupitia Nssf, psspf etc 😂
Jionee tofauti ya mtu anayejiita tajiri ila kilo. Ya unga shida😂😂😂