Tanroads wanasema $180M, Wewe unasema Tsh 1.13T ambayo ni USD 450M. Unaona niamini Tanroads ama niamini ngómbe kama wewe? 🤣 🤣Na Mimi nimekuuliza huko kwenu Kunyaland Huwa mnajenga km 218+49 Kwa gharama ya Shilingi Trilioni 1.133?
Kiswahili na uelewa wako ni tatizo
IdiotTanroads wanasema $180M, Wewe unasema Tsh 1.13T ambayo ni USD 450M. Unaona niamini Tanroads ama niamini ngómbe kama wewe? 🤣 🤣
View attachment 2746172
TANROADS – Rehabilation of Igawa – Uyole – Songwe– Tunduma Road – Mbeya
www.globaldata.com
Nimekuumbua hadi umejawa na hasira siku nzima. 🤣 🤣Idiot
Mnavyojidanganya wakunyata mnajiona nyie ni special flan kwa america 😀,hizi joint combine exchange training US army anafanya na kila taifa rafiki but kundustan mnajifanya mpo deep zaidi na US army kuliko taifa lolote😀,then kwa taarifa zenu kwa ukanda huu hamna nchi ambayo iko close na USA kama TZ thus y hata viongozi wakubwa wa US uwa wanapita TZ,na sasa hivi kijeshi ni hatari zaidi ni vile TPDF halinaga show offWhy would we?….. what’s the big deal about this?…. If you only knew the Military pact Kenya has with the US….it might blow your simple mind… There is no discussion here… find another bone to pick…🤣🤣🤣
Aliyetoa takwimu hakuzingatia nature of business for Equity GroupSasa mtaanza kugawanyisha Equity ndio muwe mbele? Yani mnafurahisha.🤣
Ngoma imekula makeup za kutosha na bado inaonesha ni vituko tu 😅😅😅😅HomaBay ina lami kuzidi Mbezi
View attachment 2746173View attachment 2746173View attachment 2746175View attachment 2746174
Huyo kilaza wa bongo umemshika kwenye kende. Zivute kabisa hadi zikatike. Yani Dar ndio haina barabara kama hiyo alafu ndio wajenge ya kuingia Malawi? Kwani wanadhani sisi ni vilaza kama wao?Shida wewe sii Mhandisi so siwezi kulaumu. Wacha nikuoe mfano, Thika Road, 50km x 2 imejengwa Na Dola million 300 mwaka wa 2009-2012. Ingekuwa Leo hii, ingekuwa Zaidi ya Dola million 600. Kenol - Marua, 84km x 2 imejengwa na Dola million 167.
Ujenzi wa barabara unatia maanani vitu vingi, Sio urefu wa barabara tu. Usilazimishe vitu bradhee. Hamjajenga 50km kuingia Dar alafu mjenge 218km kuingia Malawi? Tufuate kilichoandikwa, Sio hadithi za abunuwasi.🤣🤣
View attachment 2745800
Unaona imeandikwa Equity bank yet unangángána eti ni equity group. Anyway, hata ikiwa equity group budo ni ya Kenya. Kaskie vibaya huko kwenu. 🤣Aliyetoa takwimu hakuzingatia nature of business for Equity Group
Hakuna uliponiumbua,ni mavi tuu umejaza kichwani ndio maana huelewi.Nimekuumbua hadi umejawa na hasira siku nzima. 🤣 🤣
kitu kinatuama maji tayari! Demarcations vuluvulu!Mamboleo, interchange on Kisumu - Kakamega highway now complete
View attachment 2746160