Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Endeleeni hivo hivo kuwaandika wakenya wakati nusu ya vijana hawana ajira.🤣🤣🤣Makes you proud, remittance? Over 90% inatoka Tz, tumewaajiri wakenya waliosoma soma kidogo wanatufanyia kazi tunawalipa ujira mdogo wanatuma nyumbani ndio iku make proud?