Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akuletee link
nje ya nairobi wapi wakat maji yenyewe hakuna πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
[URL unfurl="true"
Hii habari ya shida ya maji ni ya mwaka jana kipindi cha kiangazi kikali ila hiyo x account imepost kuwa ni leo.

View: https://x.com/abroadtanzania/status/1698226451022324141?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYwHiyo page huwa inatafuta engagement kwa kupost pumba, si unajua siku hizi x watu wanalipwa kwa engagement. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Habari yenyewe ameitoa hapa. Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini
 
Bongolala, maji yanayotumika Nairobi comes all the way from Ndaka
ini Dam in Murang'a county, some 60 kms away. If you want to see a dam project within Nairobi boundaries hiyo utangoja sana
Maji yako wapi mzee wakat tuliofika nairobi tunaijua maji hakuna yani kitu kinachoisumbua nairobi ni maji na hio dunia nzima inaijua, mombasa iko near ocean na haina maji kabisa 🀣🀣🀣🀣 wachilia mbali kisumu ndio vituko kabisa

Dodoma na tabora iko over 500k and 350km from mwanza na wanapata maji kutoka lake victoria πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/9O3k_jof71Y?si=bOqrqPwpae29GGAo
 
Bongolala, nishakuambia kwamba maji yanayotumika Nairobi yanayoka nje ya mipaka ya Nairobi. Au ni miradi gani ya maji unatoka kuona
 
Hawezi kupata source mpaka anakufa eti naorobi ishinde tanzania kwenye clean water nimecheka sana leo alaf wanajua kua hawana maji lakini wanashangilia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Bongolala, nishakuambia kwamba maji yanayotumika Nairobi yanayoka nje ya mipaka ya Nairobi. Au ni miradi gani ya maji unatoka kuona
Sasa yanatoka wapi wakat CBD haina maji yanatoka kwenye invisible pipes au ?? Au maji ya napita kwenye waves kama wifi?? Au yanakuja kwa njia ya bluetooth na infrared?? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hawezi kupata source mpaka anakufa eti naorobi ishinde tanzania kwenye clean water nimecheka sana leo alaf wanajua kua hawana maji lakini wanashangilia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kama tu Rais wao ni muongo muongo, unategemea hawa kajamba nani wasiwe waongo! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maji ya Ziwa Victoria wameshindwa kuyavuta ndo watushinde eti.
 
Sasa yanatoka wapi wakat CBD haina maji yanatoka kwenye invisible pipes au ?? Au maji ya napita kwenye waves kama wifi?? Au yanakuja kwa njia ya bluetooth na infrared?? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wewe ni mjinga wa kupindukia. Hii yako ni hereditary actually. Didn't you see where I mentioned that Nairobi's water comes from Ndakaini Dam in Murang'a county?
 
Wabongo mna vichekesho 🀣 🀣 🀣

 
Wewe ni mjinga wa kupindukia. Hii yako ni hereditary actually. Didn't you see where I mentioned that Nairobi's water comes from Ndakaini Dam in Murang'a county?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 mukiambiwa ukweli mtu kashakua mjinga nimekuomba official source umebakia kuruka ruka tu

Yani kenya ishinde tanzania kwenye suala la maji manyuziii😁😁😁😁😁

Ikiwa nairobi haina maji na haina miradi ya maji unaeza ongea nn mbelr yangu chizi wewe nilikwambia hii sio nairaland kazi kuwadanganya wa nigeria hapa tanzania tukisimama tunaona chupi zenu mulizoanika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…