Na hapo tumeweka Magufuli city tuu bado centres nyingine kama Ihumwa, old dodoma na maeneo mengine mapya yànayoendelezwq.
Ukisikia Utopia ndiyo hii sasa, wakati mwingine hii battle inapoteza maana kabisa, eti mtu anathubutu kabisa kufananisha Dom na Tatu village au utasikia mtu anabisha kabisa eti Kenya inamatumizi makubwa ya cement kuliko Tz, hivi unaweza kukadiria kiasi cha cement kilichozama hapo Dom city? Angalia wingi wa majengo mapya, angalia barabara za lami mpya na urefu wake, unathubutu vp kulinganisha viwango vya matumizi ya cement kwa hizi nchi mbili?
Kuna wakati kipindi kile Magu anaanza kuijenga Dom mpya cement iliadimika nchi nzima, cement yote ilikuwa inaenda Dom, ikawa inauzwa bei ya juu sana, lkn leo hii matunda tunayaona.
Kingine kinachoipa taswira nzuri miji yetu ni ukubwa, mfano angalia li Dodoma lilivyo likubwa alafu ngedere mmoja anakuja kufananisha na kamji kadogo kenye vijengo viwili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii Dodoma ni kama Washington DC kabisa, yn ni level za mbele sn. Wakenya naomba mfungue hii video na mtoe maoni yenu bila chuki, ila ukiona umeumia pita kmy kmy na usifungue video 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😆