Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Ajabu kweli, 🤣🤣🤣 jamaa anakimbilia kushindanisha shule eti 🤣🤣🤣 na malls 🤣🤣🤣. Kashimdwa kwenye makazi ya watu anatafuta pakutokea. 🤣🤣🤣 Hanipati uko, najua huo ni mtegoMasaki imemtoa kamasi kakimbilia shule sasa 😅😅😅😅😅😅😅 yani hua halali akiwaza tanzania hiii yani inawanyima raha kabisa