Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni Tanzania inalengwa hapa, sijawahi kumsikia mtanzania akitaka kuungana na nchi yoyote, hawa wanaosema nchi yao ni abroad ya EA sasa! 😶‍🌫️

20230825_230746.jpg
Screenshot_20230825-230902.jpg
 
AMARII jaribu kumuuliza huyo zwazwa wana assemble VW ya aina agani na wana assemble gari ngap kwa mwaka na wanamauzo ya gari ngap kwa mwaka alaf usikie majibu unitag nije nikuoneshe kale kachupi anakopenda sana kuvaa 🤣🤣🤣

Hiyo mobius yenyewe ina miaka 10 lakini fatilia mauzo hata gari 50 hawajauza na still bado probox ndio gari pendwa kenya nzima
Kwenye gari 10 za kenya basi 9 ni probox na akibisha tu nitag plz
 
Wamedanganywa na wanasiasa wao for over 60 yrs sasa hvi wanatafuta shuka kushakucha 😅😅😅 na akili zao zilivokua zimelala walikua wanahisi wao wako level za finland au norway kumbe hvi sasa zinbabwe iko mbele yao kwa vitu vingi sana
 
Wadau JF app yangu inagoma kufungua nyuzi za cost comparison ya sgr na battle ya Dar vs Nairobi inaleta error messge lakini nyuzi nyingine zote inafungua vizuri tuu. Nimejaribu ku reinstall hii app twice lakini hakuna improvement yoyote je kuna mtu mwingine yoyote anayepitia changamoto hii au ni mimi tuu msaada plz.
 
Wamedanganywa na wanasiasa wao for over 60 yrs sasa hvi wanatafuta shuka kushakucha 😅😅😅 na akili zao zilivokua zimelala walikua wanahisi wao wako level za finland au norway kumbe hvi sasa zinbabwe iko mbele yao kwa vitu vingi sana
😂😂😂😂 Huu utaratibu sijui aliubuni nani? Kama kuku

Haya ni mazoezi ya kuingia mortuary bila shaka 🤣

images (48).jpeg
images (49).jpeg
 
😂😂😂😂 Huu utaratibu sijui aliubuni nani? Kama kuku

Haya ni mazoezi ya kuingia mortuary bila shaka 🤣

View attachment 2729239View attachment 2729240
Ukiwakuta wamechomekea nje na english ya uongo na kweli unaeza sema ni mtu mwenye uwezo wake ngoja akupeleke sehemu anayolala na choo anachotumia unaeza sema labda wana dunia yao pekeyao 😅😅😅😅 wanapenda sana maisha ya uongo na kujisifia kitu hawana na hawatokua nacho mpaka kiyama
 
Back
Top Bottom