ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Siku nyingi sana huyo zwazwa anajaribu sana tena sana masaki ionekane haina thamani lakini moyoni mwake anajua masaki ndio sehem inayowaumiza kichwa miaka na miaka na huu mjadala wa masaki haujaanza leo 😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣 Wewe bhana wacha maneno leta kàzi.. barabara nyingi ndani ya Karen hazina lami na hata hizi zenye lami ni lami isiyokuwa na viwango .. ushahidi huu hapa 👇View attachment 2731369View attachment 2731371nadhani hii 👆 ndio best place enye mnajisifia nayo huko Karen, correct.? 🤣🤣🤣 Wachana na hizo pavement ndani ya hako ka estate barabara za nje ya estate ni tope tupu
Anahangaika na masaki wakat mm nilimwambia masaki ni kubwa sawa na mombasa town yote 🤣🤣🤣🤣🤣