chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,315
- 45,115
Ilienda chini nusu wote wafehaikuanguka hii?
Ilienda chini nusu wote wafehaikuanguka hii?
Wanamuomba nani msamaha biden au?🤣
inaitwa planning kwa kizungu najua watanzia hamkielewiAlaf iko empty space 😅😅😅 yani hata aibu huoni
Planning gani wakat hakuna majengo yoyote 😅😅😅😅inaitwa planning kwa kizungu najua watanzia hamkielewi
jameni ntafunza CCM hadi lini? planning hufanyiwa ardhi sio majengoPlanning gani wakat hakuna majengo yoyote 😅😅😅😅
Utamkuta kwenye kila social media kazi yake ni kuichafua tanzania 🤣🤣 sasa wakat mwengine najiuliza swali ok unaichafua tanzania je ukweli utaweza kubadilika na kua uongo kwa dunia ya sasa hvi kila mtu mjuaji dunia iko wazi namna hiiHuwa hajielewi huyo jamaa...
Ni mropokaji flani hivi ambae kichwa chake kina pitisha upepo
Planning gani iko hapo na hatuoni kitu chochote cha maana 🤣🤣🤣 au planning imekosa maana siku hzijameni ntafunza CCM hadi lini? planning hufanyiwa ardhi sio majengo
Ukiona ule uozo ulipo naipori... Halafu ndio umekaririsha kibera ni pazuri kuliko Dar ndio unaweza jiuliza Dar itakuwa katika hali gani!?Utamkuta kwenye kila social media kazi yake ni kuichafua tanzania 🤣🤣 sasa wakat mwengine najiuliza swali ok unaichafua tanzania je ukweli utaweza kubadilika na kua uongo kwa dunia ya sasa hvi kila mtu mjuaji dunia iko wazi namna hii
Shida yao kubwa hawataki kuiona tanzania ikiwazidi kwenye chochote yani kwa vile waliaminishwa kua nchi yao iko sawa na norway 🤣🤣🤣🤣
Ohh new zanzibar 😅😅😅😅