ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,902
Maisha ya wakenya yamekua ya ufukara wa kutisha kiasi kula jalalani sio ishu ya vichaa peke yao, wakenya wameona vichaa hawana complain yoyote na ugumu wa maisha now they joined the group, hawajui vichaa wana immunity tayari wameingia kichwa kichwa bila kupewa modules 😂😂😂😂 matokeo yake wameng'ata ulimi
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1691706035747139977?t=SbQSkPNzg_izjTyrP4mKBA&s=19
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mount Meru Emergency Department
View attachment 2729199View attachment 2729200View attachment 2729201View attachment 2729202
Kenyatta national hospital emergency department 😂😂😂
View attachment 2729203View attachment 2729205View attachment 2729206
Mimi mbona nilisema hili wiki iliyopita nili notice hili tatizo, unajua jamaa hawataki tutumie app, sasa wameona kukomesha hiyo hali wameanza ku ban nyuzi ambazo mtu anapenda kutembelea mara kwa mara.Wadau JF app yangu inagoma kufungua nyuzi za cost comparison ya sgr na battle ya Dar vs Nairobi inaleta error messge lakini nyuzi nyingine zote inafungua vizuri tuu. Nimejaribu ku reinstall hii app twice lakini hakuna improvement yoyote je kuna mtu mwingine yoyote anayepitia changamoto hii au ni mimi tuu msaada plz.
Inasumbua karibu mwezi sasa.Mimi mbona nilisema hili wiki iliyopita nili notice hili tatizo, unajua jamaa hawataki tutumie app, sasa wameona kukomesha hiyo hali wameanza ku ban nyuzi ambazo mtu anapenda kutembelea mara kwa mara.
Yani jf inapoteza mvuto kabisa kadri siku zinavyozidi kwenda.
Wanalazimisha wote tutumie browser wakati browser yenyewe sio user friendly especially kwa anayetumia simu. Nina wiki mbili sasa nafungua jf kwa kutumia browser lkn sijaizoea kabisa na sidhani kama nitaozoea, matokeo yake sina hata hamu ya kuingia jamiiforums.
Cc Maxence Melo Moderator Paw
Dah kazi kwelikweli hata mimi imenifanya niishiwe na hamu ya JF na baada ya hili tatizo nimekuwa mbali sana na hii forumMimi mbona nilisema hili wiki iliyopita nili notice hili tatizo, unajua jamaa hawataki tutumie app, sasa wameona kukomesha hiyo hali wameanza ku ban nyuzi ambazo mtu anapenda kutembelea mara kwa mara.
Yani jf inapoteza mvuto kabisa kadri siku zinavyozidi kwenda.
Wanalazimisha wote tutumie browser wakati browser yenyewe sio user friendly especially kwa anayetumia simu. Nina wiki mbili sasa nafungua jf kwa kutumia browser lkn sijaizoea kabisa na sidhani kama nitaozoea, matokeo yake sina hata hamu ya kuingia jamiiforums.
Cc Maxence Melo Moderator Paw
Mkenya wa kutupa unga au chakula kisichokua na tatizo bado hajazaliwa.Nimecheka sana wallahi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
haikuanguka hii?
AMARII jaribu kumuuliza huyo zwazwa wana assemble VW ya aina agani na wana assemble gari ngap kwa mwaka na wanamauzo ya gari ngap kwa mwaka alaf usikie majibu unitag nije nikuoneshe kale kachupi anakopenda sana kuvaa 🤣🤣🤣
Hiyo mobius yenyewe ina miaka 10 lakini fatilia mauzo hata gari 50 hawajauza na still bado probox ndio gari pendwa kenya nzima
Kwenye gari 10 za kenya basi 9 ni probox na akibisha tu nitag plz