In case you don't know.. hii mitaa sio hata 20% ya DAR achana na hiyo 80% unayotaja taja... Karibu 70% of DAR ni maeneo ambayo hayajawahi kuonekana kabisa humu JF .. hiyo mitaa unajifarijigi nayo mostly ni hii hapa:-
Tandale
Some parts of Mwananyamala
Some parts of Magomeni
Mabibo
Vingunuti
Some parts of buguruni
Interior makumbusho
Some parts of keko
Some streets of Kinondoni
Na hayo maeneo yanaonekana zaidi kwasababu yapo karibu na taswira ya mji.. but yo majority of Dar es salaam houses are of this kind kama 50% 👇 ukiachana na magorofa marefu na nyumba zingine za upper middle class or high end
View attachment 2723196
Kwenye hiyo mitaa ya vingunguti n.k wengi humo ni maskini na wamiliki nyumba zao tu ..