Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti mtaa wa kifahari 🤣

Why do all houses in Dar estates look like they were built in 1970s? 😂 😂 😂
This is how 90% of Dar residential estates look like.

Comparing them to Langata is an insult. Hawa wapewe Kihunguro 😂😂
h1.JPG
 
Hii Bunju moja yenye barabara zote ni za vumbi hii? 🤣 🤣 🤣 🤣

View: https://www.youtube.com/watch?v=eWstv1b_Nc8

View attachment 2720155

Uzuri hakuna bed seaters humo mzee.. ukiskia ni middle class bas ni middle class kweli kila mtu anamiliki mjengo wake mkali tu and that's how we living in Tz. Sio takataka za bed seaters zenye mnapost humu Halaf mnajinasibu kuwa na namba kubwa ya middle class ..wapangaji wa vyumba viwili wanaeza vipi kukaa kwenye sentence moja na wamiliki wa majumba makali ka hayo.? 😂😂😂.
 
Maeneo mengi/mitaa mingi mno hapo DAR ambayo haijawahi mulikwa kabisa na camera ni maeneo ya aina hii 👇
1 (1).png
..Madale
Survey
Makongo
Goba
Mitaa mingi ya Tabata
Baadhi ya mitaa ya temeke
Mitaa mingi ya mbagala
Mitaa karibu yote ya kigamboni
Kijichi
Toa ngoma
Chamazi ..
Mbezi mwisho
Baadhi ya mitaa ya kimara

Hii mitaa imejaa majumba ya watu wa middle class.
 
Uzuri hakuna bed seaters humo mzee.. ukiskia ni middle class bas ni middle class kweli kila mtu anamiliki mjengo wake mkali tu and that's how we living in Tz. Sio takataka za bed seaters zenye mnapost humu Halaf mnajinasibu kuwa na namba kubwa ya middle class ..wapangaji wa vyumba viwili wanaeza vipi kukaa kwenye sentence moja na wamiliki wa majumba makali ka hayo.? 😂😂😂.
Nani kakwambia Langata kuna bedsitter? Wewe unaijua Langata?
 
Back
Top Bottom