Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii kitu tukubali au tukatae.. mama amepewa mzigo aka 10%
Vitu vingi vinakingana .. mda ukifika utaongea
Kwani mzigo inashindikana kurudisha? Na uzuri hakuna hata mmja mwenye ushahidi wa Rais kupokea Rushwa.

Kama Lisu alikiri hakuna pahala amewahi pata ushahidi wa Rais kwenye Rushwa Toka ameanza kuwa Serikalini ndio ije kuwa hili la Bandari sensitive?

Ni vile kwamba viongozi wengi Huwa ni wagumu ku reverse kwao wanaona ni weakness.

But nadhani na napenda Serikali I renegotiate terms ila sio kufuta uwekezaji.

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1693591110717747434?t=DhvAozuYksTq_Pk9ZqZffQ&s=19
 
Wivu ya nini bro? Huwa mnapenda kumisuse Neno wivu Sana. Kipi hapo cha kuonea wivu?🤣
Acha wivu, very nice building standing tall
20230821_170218.jpg
 
Acha wivu, very nice building standing tall View attachment 2724221
The building is ugly sir - tall, yes, but still ugly. You can shout at the top of your voice but it won't change anything. Sio kila kitu ni wivu - Nairobi tuna majengo ya over 30 floor mengi kuliko Dar na tumekuwa nayo tangu zamani - wivu nitoe wapi sasa? 🤣 Hadi wenzako pale SkyscraperCity walikubali this building is ugly. Wachana na blind partriotism. 🤣

1.png
 
View attachment 2724285
15(0).jpg

Endelea kulia
 
Everyday at statehouse Nairobi, these days, there is an international visitor. I wonder what has created the interest.
Indonesian President
20230821_184935.jpg
 
Back
Top Bottom