Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe mzazifeel roofing za Tanzania 😅😅😅 ni pesa tu hamna ila ni ndoto ya kila mshakahola kujenga kama mtanzania
Nionyeshe roofing kama hiyo Tanzania. This is Kenyan architecture yenye watu wa Arusha wanajaribu kucopy. Nyumba zenu hukaa hivi.
images - 2023-08-18T092134.702.jpeg

Huwezi pata uchafu kama Huu Kenya.🤣
 
Uzuri hakuna bed seaters humo mzee.. ukiskia ni middle class bas ni middle class kweli kila mtu anamiliki mjengo wake mkali tu and that's how we living in Tz. Sio takataka za bed seaters zenye mnapost humu Halaf mnajinasibu kuwa na namba kubwa ya middle class ..wapangaji wa vyumba viwili wanaeza vipi kukaa kwenye sentence moja na wamiliki wa majumba makali ka hayo.? 😂😂😂.

What an idiot.
There are studio apartments (bedsitters) even in the middle of 5th Avenue, Manhattan.

Enyewe bongolala hamna akili kama.
 
Kuna yule zwazwa wao alikua haijui tandale ilivo kama roho haitamuuma afungue video hii😅😅😅😅😅😅
Tandale kuna nyumba kali kuliko hata karen yao iliojaa vumbi kila kona

View: https://youtu.be/voupU-An0bc


This is totally embarrassing. 1970s architecture everywhere. The few "modern" structures stick out like a sore thumb.

And you wonder why foreigners say you're 30 years behind Kenya. I believe you're actually 50 years behind.

tan1.JPG
tan2.JPG
tan3.JPG
 
Back
Top Bottom