Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maeneo mengi/mitaa mingi mno hapo DAR ambayo haijawahi mulikwa kabisa na camera ni maeneo ya aina hii 👇View attachment 2720227..Madale
Survey
Makongo
Goba
Mitaa mingi ya Tabata
Baadhi ya mitaa ya temeke
Mitaa mingi ya mbagala
Mitaa karibu yote ya kigamboni
Kijichi
Toa ngoma
Chamazi ..
Mbezi mwisho
Baadhi ya mitaa ya kimara

Hii mitaa imejaa majumba ya watu wa middle class.
Hiyo mitaa yote barabara Ni vumbi tupu.🚮
 
mother of uglies...why do tanzanians like this ugly roofing concepts
Square houses with high pitched mabati with tiny or no windows. Mimi hushangaa hakuna Decra ama any and stone coated mabati huko bongo? Alafu sijawai ona nyumba bongo zikiwa na clay tiles.🤣
 
IMG_9465.jpeg
 
Wanaongelea sidewalks Langata wakati Mbezi yao hata barabara ya lami hakuna. Hadi mwenye kushoot video anaona aibu kuonyesha barabara. 🤣 🤣 🤣 🤣 Video nzima hamna hata barabara moja ya Lami - Hapa Nairobi mtaa wa Syokimau haujamaliza hata miaka 10 yet barabara za lami zishaanza kujengwa. Bongo ovyo sana. Halafu huu ndio mtaa wao wa kifahari eti. 🤣🤣🤣

1.png
2.png
1.png
2.png
1.png
1.png
 
Nionyeshe roofing kama hiyo Tanzania. This is Kenyan architecture yenye watu wa Arusha wanajaribu kucopy. Nyumba zenu hukaa hivi.
View attachment 2720535
Huwezi pata uchafu kama Huu Kenya.🤣
Who is trying to copy! Wakenya tatizo lenu hilo tunalijua la kutaka kuonekana owners hata kwa vitu hamjaanzisha. Mshaanza kutamani roofing style ya Tz tayari
 
Who is trying to copy! Wakenya tatizo lenu hilo tunalijua la kutaka kuonekana owners hata kwa vitu hamjaanzisha. Mshaanza kutamani roofing style ya Tz tayari
Have you been following the conversation ama unapayuka tu kama mama mjamzito?
 
Nionyeshe roofing kama hiyo Tanzania. This is Kenyan architecture yenye watu wa Arusha wanajaribu kucopy. Nyumba zenu hukaa hivi.
View attachment 2720535
Huwezi pata uchafu kama Huu Kenya.🤣
Wewe funga mdomo, Tanzania construction ideas ndio zinarule shakahola, kuna hundreds wa mafundi wa Tanzania wanajenga shakahola sababu mnataka our taste na hamna so lazima muimport

View: https://twitter.com/e__wambua/status/1692057031413276992?t=ox1rgOvgH3gEU22D-oq4ag&s=19
 
Sasa mazeras stones zimekuwa zenu? 🤣 🤣 🤣
Unajua tumetumia mazeras tangu lini? Alafu napenda ulivyobadilisha goli haraka ukatoka kwenye roof nilipokushika makende sahii upo kwenye cladding. Architecture yenu ni mbovu sana usiongee. Angalia mambo ya Kenya haya.

162763157.jpg
59aabeae7056d7128a4f50b87a36a534.jpg
 
This Kisumu project is coming up so nicely...weh.....Makasembo Housing project
 
Attachments

  • kisumu housing project.jpg
    kisumu housing project.jpg
    277.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom