Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Langata yenyewe sasa video nzima inaoneshwa barabara moja ambayo haina hata proper pedestrain path na uchafu kila kona 🤣🤣🤣 yani hio picha iliowekwa kwenye hio video ni hoteli
chongchung ukihitaji chupi zake zaidi let me know manake ninazo mpaka zilizotoboka kwa nyuma
View attachment 2719251View attachment 2719252View attachment 2719253View attachment 2719254View attachment 2719255
Lang’ata tunaipa Bunju…..😅😅
 
Ukiangalia kinacholinganishwa na langata ndo unaona kweli tunadeal na wendawazimu hapa jf

Ndo hii bunju

View: https://youtu.be/eWstv1b_Nc8

Na ndo hii langata

View: https://www.facebook.com/533392693515052/posts/2040458852808421/?mibextid=NEfrCqdcncT1EUS5

Ww kwa macho yako unaona nn hapo ??🤣
Mm naona modern house bunju vs slums hapo chini nyumba za udongo zimekaa ovyo ovyo tu

Unless bunju uwe huijuu wewe bunju ziko mbili kuna Bunju A na bunju B na zote ni za moto 🤣🤣🤣

View: https://youtu.be/mDlv4l2V_zk

View: https://youtu.be/3gaktOY4Wg4
 
Wakunya Mnaona mambo inavyoenda?

View: https://twitter.com/TaruraTz/status/1692088848606487018?t=h0tSgrYsQgHEDfz9bK32fA&s=19
-1907822503.jpg
1308200081.jpg
 
Back
Top Bottom