Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,895
- 103,759
insecurity in Kunyaland!how is this related to this thread?
insecurity in Kunyaland!how is this related to this thread?
Hizi juakali mnazojenga kuna siku zitakuja kuua mamia ya wakenya, angalia hilo paa jinsi lilivyowekwa.A stadium under construction in nakuruView attachment 2708651View attachment 2708654View attachment 2708655View attachment 2708656
Hakuna nchi Wala mtu yeyote duniani mwenye akili timamu atakayetoa pesa zake kwa ajili ya hii reli.
jiji la kunguni!Alaf wako busy kushindana na dar😅😅😅
Ni nguruwe wa aina gani anaweza ishi hapo
View attachment 2708879View attachment 2708880View attachment 2708881
Hii ndiyo mnaifananisha na Dom hii, you cant be serious.
Aisee... hapa mama anapaswa kuangalia uwezekano wa SGR Isaka-Masaka-Kampala! Unajua sasa hivi uchumi wa Uganda unaji-orient zaidi na Lake Albert region yaani pande za Hoima! Si mbaya tukianza mkakati upande huo maana kwa sasa Hoima ndio sehemu iliyo-busy zaidi na ujenzi huko Uganda!Hakuna nchi Wala mtu yeyote duniani mwenye akili timamu atakayetoa pesa zake kwa ajili ya hii reli.
cc. Gezaulole
Over 13 good years hii ndio kitu mumejenga??🤣🤣🤣🤣 even 1% of its render bado hamujamaliza
Alaf baadae munawalaumu CAF 🤣🤣🤣
Unazungumza Kama vile upo ndani ya ubongo wa M7, huko ndiko anakowaza Museven, mama anachohitajika kufanya ni kuwa "assertive" kidogo tu kumshawishi M7 Kama tulivyofanya katika Bomba la mafuta, hakuna jinsi ambavyo Uganda wataunganisha SGR na Kenya, yaani hiyo haipo kabisa.Aisee... hapa mama anapaswa kuangalia uwezekano wa SGR Isaka-Masaka-Kampala! Unajua sasa hivi uchumi wa Uganda unaji-orient zaidi na Lake Albert region yaani pande za Hoima! Si mbaya tukianza mkakati upande huo maana kwa sasa Hoima ndio sehemu iliyo-busy zaidi na ujenzi huko Uganda!

Hiyo picha ya pipeline imeniharibia appetite ya lunch kabisa