Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Imagine , Na hao wasomali wapo kenya , ndani ya Mipaka ya kenya wanafanyiwa huo umafia nyumbani kwao,
Hiyo ni nchi au takataka ?
 
And yet the busiest road haipitishi more than 70k vehicles per day 2023!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
And yet the busiest road haipitishi more than 70k vehicles per day 2023!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kwani dar ina barabara moja hio morogoro road inapitisha over 100k vehicles a day wachana na barabara zingine kama nyerere road au kilwa road au uhuru road etc tukiwaambia dar ni kubw amara tatu ya nairobi muelewe tunamaanisha nn 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Bandari ya kenya inakuja kushangaa uwanja wa azam complex 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…