Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo wewe ungemruhusu mke wako awe rafiki na kundi la machanguduo kule Ohoi street?, Kwahiyo dini ya kiislamu kukataza kula nguruwe ni uvunjifu wa demokrasia?, Hivi Zanzibar kukataza watu kusuka nywele ni uvunjifu wa demokrasia?, Iweje Kuna nchi zinapinga ushoga?, Kila mtu awe huru kufanya anachotaka, mbona kwenye ushoga hutaki watu wawe huru lakini kwenye mashirikiano unataka Kila mtu awe huru?, Huo ni unafiki wa hali ya juu.
 
Bro mm naona unatoka nje ya mada kidogo hapa tunachozungumza ni kua kila nchi iko huru hakuna nchi ikawa nu mume na nchi nyingine ikawa ni mke, na kama unatumia mfano huo maana yake ni africa nzima iko kwenye ukoloni tena😅😅

Issue ni kwamba marekani anawapangia watu marafiki wakua nao ilihali kila nchi iko huru au labda utuambie ww nchi gani haiko huru huenda sijui mm

Kama kuna nchi zimependa kua na urafiki na russia aziache na asitoe mkwara kwa nchi hizo yani mfano wako ww uko nje ya mada ukisema mume na mke maana yake ni ndoa tena 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…