joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Hata uwezo wetu pia ni mdogo Sana hasa tukifika ngazi ya kimataifa, hiyo haiishii kwenye sheria tu, ni katika maeneo yote.Tunakosa uzalendo, watu wanaangali cha juu tuu.
Hata kwenye kupigwa risasi na kuuliwa na polisi hovyo pia wametushinda, ukipenda boga upende na maua yake.Watanzania msitake kubisha hili, sasa hivi Wakenya, hapo Nairobi wametuzidi sana kwenye suala la maandamano.
Kwani wamefikia kuuwana kwenye maandamano?Hata kwenye kupigwa risasi na kuuliwa na polisi hovyo pia wametushinda, ukipenda boga upende na maua yake.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kaka kenya kuna project za kifurahisha wazungu tu, sio kubadilisha maisha ya mtu mmoja mmoja! Kuna startups kibao ila zote ni wanaiga mambo ya kizungu ndo maana wanafeli.Kumbe hizi mambo Kenya ni mashikoro mageni? Akyamungu hawa ndio wanasema nchi yao ni ICT hub? Nimeshtuka sana[emoji848][emoji28][emoji28]
Kwani wamefikia kuuwana kwenye maandamano?
Labda waliopigwa risasi ni wezi au majambazi. Maana nasikia huko, Wakenya wengoine wanafanya maandamano wengine wanaiba.
Kwani wamefikia kuuwana kwenye maandamano?
Labda waliopigwa risasi ni wezi au majambazi. Maana nasikia huko, Wakenya wengoine wanafanya maandamano wengine wanaiba.
Unataka Tanzania tufikie huku?Kwani wamefikia kuuwana kwenye maandamano?
Labda waliopigwa risasi ni wezi au majambazi. Maana nasikia huko, Wakenya wengoine wanafanya maandamano wengine wanaiba.
Ruto atafinywa tu atake asitake! asilete ujinga wa Sugoi!
Boss, only 17 heads of state attended the summit, idadi ndogo Sana ukilinganisha na mkutano uliopita. Yote ni sababu Russia kuzuia ngano ktoka Ukraine kufika Africa.Lazima wapeleke mwakilishi unafkiri mchezo🤣
This is a shame for Africans to depend on European countries for agriculture products, remember European countries are not agricultural economies like African countries, why you think "Ngano" from Ukraine and Russia should be an issue for Africa?, huu ni ujinga kwa waafrika, na wewe unadhani ni jambo la maana Kama kweli hiyo ndio sababu, ila sidhani Kama hiyo ndio sababu.Boss, only 17 heads of state attended the summit, idadi ndogo Sana ukilinganisha na mkutano uliopita. Yote ni sababu Russia kuzuia ngano ktoka Ukraine kufika Africa.
Kremlin blames west for small number of leaders due at Russia-Africa summit
Ukraine war and grain deal exit loom over forum that could be ‘make or break for Putin’ in courting Africawww.theguardian.com
Hii Iko wapi?The largest roundabout in East Africa.
Rift Valley Kenya. 0.67km
View attachment 2700107View attachment 2700106