Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna kitu ww hunielew ndio maana tunabishana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, Mimi ninaamini kwamba wewe ni msomi mzuri na ukweli unaujua vizuri Sana, tatizo lako kubwa ni "bias against Western countries.

Mfano mzuri ni haya maandamano France vs Kenya. Wakati maandamano huko France yamesababisha uharibifu mkubwa na kusababisha hasara x 1000 ya Yale ya Kenya, hakuna vifo vyovyote vilivyosababishwa na vyombo vya Dola dhidi ya waandamanaji, police wamezuia maandamano bila kutumia silaha za moto, bila kuteka watu na kufanya "intimidation acts" kwa mtu yeyote.

Huku Kenya Kila siku watu wanauliwa na hakuna mtu hata mmoja anayewajibishwa Wala hakuna uchunguzi wowote unaofanywa na serikali, yaani serikali imehalalisha kwamba mtu yeyote atakayefanya maandamano hana haki ya kuishi Kenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
nimemkuta anashangilia ban ya wanaume kusuka Zanzibar, sasa nikajiuliza yale makabila ambayo wanasuka kimila inakuwaje? je wale makalasinga wanausuka na kuvaa Turbine je? Je Rastafarians? Ikumbukwe Zanzibar hiihii ilikuwa na sheria dhidi ya Wanzazibari wenye asili ya Oman na Shiraz!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
nimemkuta anashangilia ban ya wanaume kusuka Zanzibar, sasa nikajiuliza yale makabila ambayo wanasuka kimila inakuwaje? je wale makalasinga wanausuka na kuvaa Turbine je? Je Rastafarians? Ikumbukwe Zanzibar hiihii ilikuwa na sheria dhidi ya Wanzazibari wenye asili ya Oman na Shiraz!
Huyu anawashukuru polisi wa Kenya kwa kufanya kazi nzuri, anasema eti wanafanya kazi "professional", zaidi ya watu 50 dead yeye anasema wapo professional

Back
Top Bottom