Mchizi wangu mmoja juzi alikuwa akilalamika maji kukatika kila siku.Mpaka maji yanakatika sasa?
Utamkumbusha kuhusu nini?, hata iweje hatuwezi kupata njaa au upungufu wa chakula, bado tutaendelea kuwaletea chakula usiwe na hofu yoyoteKama itatokea tutamkumbusha Samia suluhu.
Kituo kama hiki Tanzania mara ya mwisho nilikiona kipo Kaliua, Tabora huko, more than 900 km from DarTazameni main stand ya matatu aisee...
Hawa ndo wanasema tz tuko nyuma miaka 30?
Hata kujenga bus stage hawawezi? Wanazidiwa hadi na mwanza?
View attachment 2694349
Video za propaganda kwasababu hatoi critique ya aina yoyote. Kujenga majengo especially kwenye mji uliokuwa designated kuwa capital kunahitaji kuwe na identity. Natazama video zote na neno moja naweza kusema ni BLAND.Dodoma
Huu uchafu ndio mlikua mnalinganisha na mv Mwanza? 😂😂😂I love the sleek Kenya made ship
View attachment 2694499
We kwako yanakatika kila siku?Mchizi wangu mmoja juzi alikuwa akilalamika maji kukatika kila siku.
Huyu jamaa amewapasha wakenya ukweli, wanatokwa na mapovu sio kawaida, someni comments[emoji1241][emoji1241][emoji1241]