The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Wanatakiwa waendelee kupigana ili wapungue mana wapo wengi sana alafu wazembe watatupa shida kuwalisha mbwa hawa.Baadaye watajikuta katika hali mbaya ya uchumi kwa maamuzi yao haya ya kijuakali.
Wauwane tu mm nmewaruhusu kwa roho safi mana tuliwaambia lazima watauwana wakabisha, and mark my words hawa kima watauwana kuliko Rwanda.Sisi tuna nye nye nye democracy [emoji116][emoji116]
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakuja Kenya kwa sasa, ili afe?China's top diplomat to visit Kenya, S.Africa, Nigeria and Turkey
Ilikuwa assigned ikafanyiwe engine replacement uholanzi maana A220 had engine issues from the manufacturerHivi ile ndege ilifikaje Uholanzi wakati hatuna route huko?
What do you want to see road marks and pedestrian infrastructure or something else?Nairobi CBD
Someone with pictures of DAR CBD Street level, want to see something
View attachment 2692586View attachment 2692587View attachment 2692588View attachment 2692589
Kwa sauti ya mkikuyu; Hizo ni state of the art ultra modern rungus only available in KenyaMangobore yao ya medieval kama la huyu wameyaficha wapi? Marungu ndio silaha ya nchi yenye budget kubwa Africa ya issues za ulinzi? [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2692614
This is Naipori street level pia [emoji16]Nairobi CBD
Someone with pictures of DAR CBD Street level, want to see something
View attachment 2692586View attachment 2692587View attachment 2692588View attachment 2692589
Mnakuwa kama sio omnivorous bwana. Labda tuwape jina lenu peke yenu ugalivorous [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wazee wa kula miogo na makande[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Odinga anataka washee ugali kwa meza na Ruto. Pia mashakahola yanataka ugali kwa meza . Remember in Kenya if you are not a politician then no ugali utakuwa ni mtu wa mlo mmoja wa kubahatisha makazi kibera, mathare, ukiwa na afadhali kidogo pipeline [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndio hali naiona Kenya huko wanakokwenda ni pabaya sana, kwenye katiba yao ndivyo inavyosema?
Odinga anataka nini, kwanini wasimpe muda Rutto, au kwa vile si Mkikuyu?
Ukabila ni ugonjwa mbaya sana aisee.
Hakuna nyingine itoke wapi? ni hiyo hiyo tuu mkuu kama ambavyo inavyoonekana hapa [emoji116]Hivi hizi mbwa zina Nairobi nyingine tofauti na ninayoiona kwenye maandamano?
Akili ya kimagufuli hii dunia nzima vitu Kama hivyo vipo! BTW sheria ndo hiyo inapotishwa.Unapoweka maduka ya kubadili fedha za kigeni kwenye nyumba za wageni unapunguza usalama wao hapo hotelini.
Hilo wazo la Bureau de change mahotelini ni njia ya kutakatisha pesa, utalii kisingizio. Watu wameiba pesa sasa wanatafuta njia ya kuzitorosha kiulaini.Akili ya kimagufuli hii dunia nzima vitu Kama hivyo vipo! BTW sheria ndo hiyo inapotishwa.
Peleka mawazo mgando toka nje ya Bongo uone vitu vikienda! Ni kitu cha kawaida Bureau de Change na Travelling agencies kuwepo Mahotelini! Utoroshaji kivp wakati taasisi za ukaguzi zipo?Hilo wazo la Bureau de change mahotelini ni njia ya kutakatisha pesa, utalii kisingizio. Watu wameiba pesa sasa wanatafuta njia ya kuzitorosha kiulaini.
Magufuli akili kubwa ile, leo ungekuwa na jeuri gani ya kuwatambia wakenya kuwa tuna treni ya umeme. Huyu mama yenu anaakili gani ya kuongoza nchi zaidi ya uchuuzi, nchi inamshinda maji yanakatika kila siku, wakati wa Magu yalitiririka masaa 24.
Kama suala ni kurahisishia watalii kwa nini wasiwawekee ATM mahotelini, wakitoa pesa zinatoka za madafu, tatizo liko wapi?Peleka mawazo mgando toka nje ya Bongo uone vitu vikienda! Ni kitu cha kawaida Bureau de Change na Travelling agencies kuwepo Mahotelini! Utoroshaji kivp wakati taasisi za ukaguzi zipo?
By who mama ngina or??🤣🤣🤣