babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Hawa ni watu wa kelele na sifa za kijinga, Kila kitu wanachofanya kwao lazima wakipe sifa za kijinga, hata ugali" lazima watasema " our ugali is the biggest in East and central Africa".Kwanini wanaviita viwanja vya michezo 'international' hawa ng'ombe sijui lini watapata akili, hata English hawajui![]()
Nina hakika huyo nyang'au hajui yaliyotokea enzi za Pinto, Mboya, Kariuki wala Ouko. Anasimuliwa tu na wazazi wake🤣🤣Kama walivyokufa Pio Gama Pinto, Tom Mboya, J Kariuki, Aoku, Chris Msando, Sheikh Rogo, Makaburi na viongozi wengi wa kiislam.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
mbona liko ugly?Another batch from mastersView attachment 2691704View attachment 2691705
Kwani humu ndio mechi za CAF mutachezea au??🤣🤣🤣🤣🤣🤣Another batch from mastersView attachment 2691704View attachment 2691705
Tanzania ukijenga nyumba ya mabati labda uishi pekeako ila ukiweka familia tu unaweza jikuta jela Sasa sikujui wakenya wamehalalishaje hii kitu au kwa vile serikali inajua umasikini walionao wakenya?Slums ni kitu shakahola haiwezi kukiacha inches 2 away, they're so intact and look fabulous together
View attachment 2691590
Wewe huoni puti kwenye hilo body utakuwa kipofu hii ni jua kali classic design.Wewe unajua nini kuhusu mabasi
View attachment 2691727
Hata ulie ila haifuti ukweli kwamba timu zenu lazima zije kucheza Tz mtake msitake, hapa ni kujifariji tu, CAF washasema kwa East Africa viwanja bora vipo Tz pekee na kama unaona mpira wa Afrika ni wa hovyo waambie Wakenya wenzako wasishiriki michuano ya Afrika.Hahah Hadi parking Haina, watu wanapark kwa manyasi!!!
Lami pia ni zero around the stadium.
Hii CAF ni upuzi.
Ndio maana Africa ni Mavi kwa football bado.