Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa Yanga nao wapuuzi unaandikaje jina la Rais Dr Laz? With all that branding opportunity? Na mbona hata kama first name wasiandike Dr. Lazaro! Branding machine yao ina matatizo na ubabaishaji mtupu! Ilipaswa isomeke Dr Chakwera!
Sure, hata mm nme notice hiyo, wamezingua hapo.
 
Hatuhitaji kuunda dams za kugenerate umeme, tuko na geothermal na tunainvest huko. Dams tunazounda ni za irrigation , wacha kuwa mjinga si lazma tucopy each other
Hahahaha, wewe kweli chizi, umeme wa Geothermal na umeme wa maji upi wenye bei ndogo?, Kuanzia mwakani bidhaa zenu haziwezi tena kushindana na bidhaa zetu, trade inbalance kati ya Kenya na Tanzania itazidi mara mbili ya ilivyo hivi Sasa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ni sawa ila Sasa haya mashamba yalitakiwa kuwa Nje mbali na maeneo ya Miji..

Haya masuala yalisababishwa na ufinyu wa akili ya Watendaji wa Serikali maana Miji inakua Sasa kuwa na mashamba Mjini sio sawa..

Iko hivyo Arusha,Mbeya,Songwe/Vwawa na Mwanza Ukirigulu..

Mimi naona Serikali iwatafutie maeneo makubwa Nje ya Miji na maeneo ambayo ndiko shughuli kubwa za Kilimo zinafangika na sio hapo Mjini.

Kiufupi sikubaliani na Bashe,Hifadhi kibao zinafutwa na watu wanapewa mashamba Kwa nini wao wasione Busara waombe Serikali iwape maeneo Nje ya Miji?
Hiyo ni land bank, najua miaka 30 ijayo watafikiria kufanya hivyo lakini kwa sasa tupunguze speed ya kutumia kila kipande cha ardhi wazi kuingiza kwenye majenzi, mji unatakiwa kuwa na mapafu ya kunyonya kelele na fumes za makazi pia kuna kitu kinaitwa urban farming sio mbaya tukawa nacho kwenye miji yetu.
 
Hahahaha, wewe kweli chizi, umeme wa Geothermal na umeme wa maji upi wenye bei ndogo?, Kuanzia mwakani bidhaa zenu haziwezi tena kushindana na bidhaa zetu, trade inbalance kati ya Kenya na Tanzania itazidi mara mbili ya ilivyo hivi Sasa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukitaka tukuone wewe si mjinga tuweke figures tufanye comparison
 
Back
Top Bottom