joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
The power of private sector in KenyaThe power of the private sector in KenyaView attachment 2677183View attachment 2677184View attachment 2677185
akili kubwaz👏👏👏👏👏 bonge la president
View attachment 2676332
mpaka apokee ufunuo inategemea na ufungaji wake
news ni kusifu CCM toka asubuhi hadi jioni inabidi wadanganyika wafuate news za KenyaMnafuatilia news za kenya kwasababu zenu ni bogus hazivutii hata, ni zile za mtukufu rais kama wakati wa moi [emoji23]. Kuna hadi nyuzi zimefunguliwa kusifia media za kenya, watanzania wanafatilia media za kenya kama bbc na cnn [emoji28]
News za Kenya ni kuhusu maandamano, Alshabaab attacks, tribalism, njaa, slums, high cost of living, ajali na Rushwanews ni kusifu CCM toka asubuhi hadi jioni inabidi wadanganyika wafuate news za Kenya
Ulishaona wapi hii?Hii estate hapo chini huwa haipiti wiki kabla hamjaizungusha hapa [emoji28].
How is Obama black?isipokua Obama all other ni white Americans kutoka Europe ireland.
Kila siku huwa nasema Mombasa ni Tz, nadhani leo mmenielewa, kwanza haifanani na Kenya kabisa hata watu wake hawafanani na Wakenya, ni watanzania wale kutoka Tanga na Zanzibar, wakati nakuwa nilikuwa najua Mombasa ni Tz, huko mbele ni lazima tutairudisha Tz.Kumbe hawa nyang'au hawakulipia Mombasa,
Sijui tuanze kuwadai??
Huyu jamaa aliona nilicho post kweli!?Hii estate hapo chini huwa haipiti wiki kabla hamjaizungusha hapa [emoji28].
Vipi kupost vitu ovyo kama hizi!?
[emoji28] jamaa hata haoni aibuHuyu jamaa aliona nilicho post kweli!?