Achia jaluo madaraka tuone kweli hamuna tribalism π π πUkabila unakuharibu namna gani? am very prpud of my tribe heritage amd culture mimi sio mtumwa wa CCM kama wadanganyika.
Only Damganyikans are not proud of their tribes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii estate hapo chini huwa haipiti wiki kabla hamjaizungusha hapa [emoji28].
Democracy is about votes sio ukabila and CCM wins in Tanzania with 99% hadi wabunge wanapitisha sheria mbaya za kiCCM sababu wao ndio wengi bunge. Reminds me of the former soviet union elections ambako rais alikua anashinda kura zote kama Lukashenko huko Belarus 90%Dictatorship ni ile rais anatoka kwenye kabila hilo hilo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mbona hatuoni makabila mengine kenya wakishika madaraka zaidi ya kikuyu na kalenjin ambao ni wale wale tu
Kenya kuna makabila zaidi ya 60 lakini hatujawah sikia rais ni mjaluo au mmasai au mdigo etc [emoji28][emoji28][emoji28]
Au maana ya dictatorship huijui wewe
Hahahaha, Clinton family ipi iliyotawala zaidi ya Bill Clinton?. Ninyi kabila mbili tu ndio zimetawala Kenya, na sio nafasi ya urais pekee, 75% ya ajira serikali ni kabila mbili tu, wapi duniani umeona kitu Kama hicho?ata USA wametawaliwa na clinton family na bush family kwa muda, but bado ni the father of democracy duniani..sasa na Tanzania ni chama kimoja kama North Korea utasema nini?
Kwahiyo Trump babake kuwa tajiri Kuna Uhusiano gani na kutawaliwa na kabila mbili pekee?trump babake alikua tajiri USA, Obama babake ni Mkenya, Biden amekua kwa serikali tangu 1970s kama senator.. sasa Danganyika ni CCM kama North Korea
Kwahiyo Trump babake kuwa tajiri Kuna Uhusiano gani na kutawaliwa na kabila mbili pekee?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
South Africa, Mozambique, Botswana, Angola, Namibia and Sychelles are among the most ranked highly in democracy, but are under one party since independence.Lakini rais lazima atoke kwa chama kimoja tangu uhuru CCM kama North Korea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hiyo inaitwa Dictatorship kwa lugha ya English ambayo najua wadanganyika wengi hamuelewi
Kabila?, Kwahiyo kwenu kabila ndio muhimu kupata urais?[emoji237][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ukitaka kua rais Danganyika ata kama una Kabila lote nyuma yako huwezi hadi ulambe matako ya CCM tangu 1960... what a failed coumtry. in developed countries kama kenya na USA its the numbers that matter.
Wewe uko proud na kabila au ukabila, Kenya mnatumia ukabila katika kuwania nafasi za kisiasa na kazi, huo ni ujinga na upumbavu.Ukabila unakuharibu namna gani? am very prpud of my tribe heritage amd culture mimi sio mtumwa wa CCM kama wadanganyika.
Only Damganyikans are not proud of their tribes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
naona unapoteza muda wako muhimu kubishana na huyo zezetaHujanijibu swali nililokuuliza wanatoka kabila moja au ukoo mmoja?? π π π π
CCM wanaingia makabila tofaut nchi nzima sio kabila moja hilo hilo tu kama kikuyu na kalenjin
Kwahiyo Kenya wenye kupigiwa kura ni kabila mbili tu pekee au kabila zingine hawagombei?, Vipi kuhusu nafasi za ajira serikalini, mbona ni kabila hizo hizo mbili pekee?.Democracy is about votes sio ukabila and CCM wins in Tanzania with 99% hadi wabunge wanapitisha sheria mbaya za kiCCM sababu wao ndio wengi bunge. Reminds me of the former soviet union elections ambako rais alikua anashinda kura zote kama Lukashenko huko Belarus 90%
Sasa kama wanashinda CCM ulitaka vipi??Democracy is about votes sio ukabila and CCM wins in Tanzania with 99% hadi wabunge wanapitisha sheria mbaya za kiCCM sababu wao ndio wengi bunge. Reminds me of the former soviet union elections ambako rais alikua anashinda kura zote kama Lukashenko huko Belarus 90%
Lakini huwa hawabadili majina ya vyama ili kuhadaa ummaata USA wametawaliwa na clinton family na bush family kwa muda, but bado ni the father of democracy duniani..sasa na Tanzania ni chama kimoja kama North Korea utasema nini?
Kwani kuna ubaya gani?Mbona Tanzania mnatawaliwa na CCM tangu Uhuru?
Kwa hivo nikisema Luxembourg Ni mji tajiri duniani na nipost picha ya kanisa Luxembourg utapinga eti kisa kuna kanisa hadi kijijini mwako? Mbona mnakuanga na uelewa duni hivi?Mjomba unataka na wewe uonyeshwe makanisa kwenye vijiji vya Tz mana mwenzako alipost kanisa Aki claim that kijiji ni tajiri.
Ccm sio ya ukabila au ukoo jikomboeni kwanza kwenye wimbi la ukabila ndio tukae meza moja tujadili mengineMbona Tanzania mnatawaliwa na CCM tangu Uhuru?