chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Wewe ndio umepigwa chenga na terminologies za uchumi, ukisema 'government expenditure' umeshahama maana na ukisema 'development expenditure' ni maana nyingine tofauti, wewe umekomalia government expenditure hujui inamaanisha nini.Hata mimi sijasoma uchumi lakini vitu basics kama ivyo havitakiwi kukupinga chenga
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tuongelee mambo mengineMbona sasa ndio umenyoosha maelezo baada ya kukuambia?
Kwani hujui kusoma!? Hadi nimeweka highlight, bado huoni. 10 Years mobius 1, 2 hadi 3, we are talking of Mobius 3, two years old, 80 units sold, 30 in the last 2 months!! Duh!! Tanzania elimu mbovu hivi!?80 over period of 10years mm sijaanza kuiskia mobius leo wala jana toka niko shule naiskia tu 😅😅😅😅😅😅 nilitegemea angalau uniambia 2000 cars sold nione kweli wamevuta kamba
Vitu vingine ni aibu hata kupost najua unajiskia vibaya 🤣🤣🤣🤣🤣
Hvi ww hujiskii aibu hebu nioneshe mauzo ya mobius 1 and 2 yakifika magari 10 nitag 😅😅Kwani hujui kusoma!? Hadi nimeweka highlight, bado huoni. 10 Years mobius 1, 2 hadi 3, we are talking of Mobius 3, two years old, 80 units sold, 30 in the last 2 months!! Duh!! Tanzania elimu mbovu hivi!?
Wakenya njoeni hapa, tuna elimu bora kila siku tunawaambia haya someni taratibu na mkalilie kwa choo...Wakunya watakwambia wao Wana Elimu Bora Afrika na Dunia yet kwenye Best University Ranking hakuna Chuo hata Kimoja Cha Kunyaland [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Top 10,Tanzania has 2 university,Uganda and Rwanda 1 for each other..
SSA University Rankings
Explore the top ranked universities in Sub-Saharan Africa Discover the top universities in Sub-Saharan Africa with the Times Higher Education Sub-Saharan Africa University Rankings 2024.www.timeshighereducation.com
Bado nasisitiza uchumi wa Tanzania hautegemei miradi, mradi wa JNHP ni zaidi ya $3B sehemu kubwa ya hizi pesa zinaenda kuagiza mitambo nje ya nchi na kulipa constructors wa nje, excavators, bulldozers, loaders, trucks na mitambo mingi inachukua pesa nyingi sana kwenye miradi na yote hii inatoka nje ya nchi, diesel na petrol, lubricants na oils ni imported goods
"Amekamatwa baada ya dunia kuja juu lakini kwa vile dunia imekuja juu wamemchukua wakamuhifadhi lakini laiti dunia ingekaa kimya hata usingeskua ulichoskia [emoji28][emoji28][emoji28]""Amekamatwa baada ya dunia kuja juu lakini kwa vile dunia imekuja juu wamemchukua wakamuhifadhi lakini laiti dunia ingekaa kimya hata usingeskua ulichoskia [emoji28][emoji28][emoji28]"
Mm hua nawaambia haki za binaadamu na mahakama ya ICC ipo kwa ajili ya africa na ipo kwa ajili ya kuficha uchafu wao vile vile mark my words ni ngumu kukubali lakini ndio ukweli mzee
Hakuna kitu kinaitwa haki ya mapenzi jinsia moja hakuna kitu kama hicho [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yani hakuna haki ya mwanaume kupewa uume alaf ukaumbiwa mwanake awe starehe kwako ukasema hapana mm nifate laana ya kufukunyuliwa tope
Yani kitendo chenyewe hata ukimwambia mdudu hakuelew achilia binaadamu mwenye akili timamu
Kama shughuli ni kufykunyuliwa tope mwanamke aliletwe ili iweje au aliumbwa kwa kusudio gani mbona hatumuoni mbuzi akikosea tundu ikiwa hawana akili [emoji28][emoji28][emoji28]
Tangu nimekuwa na ufahamu wangu sijawahi kuona GDP ya Tz ikifika $60b kila siku 57, yani nchi zingine namba zinabadilika lkn kwa Tz tulibaki pale pale kwenye 57, miaka nenda rudi GDP haikuwi ila nchi inasonga na mambo kibao yanafanyika tofauti na nyie ambao daily GDP yenu mna rebase ili muonekane mna uchumi mkubwa ambao hauwasaidii, nasisitiza kusema kwa mambo inayofanya Tz hivi sasa uchumi wake wa kweli kabisa ni $150b, hii itawekwa tu mtake msitake na sgr plus jnhpp ikianza kufanya kazi tutafika 200 soon.Kenya GDP itabidi uunganishe Danganyika na Uganda
0.00000001% ya GDP ya kenya imetoka kwa wachuuzi wa kitanzania wanaozungusha kahawa, mandazi na cripsi huku mitaani Kenya, karibuni sana wanamagufala
View attachment 2674939View attachment 2674940
Hata Rwanda imewazidi, sifa mingi lakini hamna kitu.Wakunya watakwambia wao Wana Elimu Bora Afrika na Dunia yet kwenye Best University Ranking hakuna Chuo hata Kimoja Cha Kunyaland [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Top 10,Tanzania has 2 university,Uganda and Rwanda 1 for each other..
SSA University Rankings
Explore the top ranked universities in Sub-Saharan Africa Discover the top universities in Sub-Saharan Africa with the Times Higher Education Sub-Saharan Africa University Rankings 2024.www.timeshighereducation.com
Miradi ya BRT itabakisha pesa nyingi Tanzania sababu expenses kubwa za mradi ni kwenye cement, nondo, wiremesh, aggregates, bati, vioo though laiti lami ingekua sourced locally tungepata walau 70% as local content, lami (asphalt) nyingi inayotumika Tanzania inatoka Swiss, UAE na RussiaBado nasisitiza uchumi wa Tanzania hautegemei miradi, mradi wa JNHP ni zaidi ya $3B sehemu kubwa ya hizi pesa zinaenda kuagiza mitambo nje ya nchi na kulipa constructors wa nje, excavators, bulldozers, loaders, trucks na mitambo mingi inachukua pesa nyingi sana kwenye miradi na yote hii inatoka nje ya nchi, diesel na petrol, lubricants na oils ni imported goods
Pesa inayobaki Tanzania ni mishahara, cement, nondo, mbao, food supplies na vitu vingine standard vinavyopatikana locally ambapo kwa miradi mingi mambo yote haya huwa ni 20% mpaka 30% ya gharama kuu ya mradi, ni watanzania wangapi wanaoajiriwa kwenye miradi na wenye viwanda vya hizo bidhaa watanufaika na huo mradi mpaka useme uchumi wa nchi nzima unategemea miradi? Labda hata 10k hawafiki directly and indirectly kwa mradi mmoja katika watanzania million zaidi ya 60
Wachumi wetu walikuwa wanafanya kazi kwa maelekezo ya kisiasa kwamba uchumi ukikua tuta graduate from LDC mapema na hivyo kupelekea kupoteza masoko ya upendeleo kama ku export everything but arms to Europe na AGOA.Tangu nimekuwa na ufahamu wangu sijawahi kuona GDP ya Tz ikifika $60b kila siku 57, yani nchi zingine namba zinabadilika lkn kwa Tz tulibaki pale pale kwenye 57, miaka nenda rudi GDP haikuwi ila nchi inasonga na mambo kibao yanafanyika tofauti na nyie ambao daily GDP yenu mna rebase ili muonekane mna uchumi mkubwa ambao hauwasaidii, nasisitiza kusema kwa mambo inayofanya Tz hivi sasa uchumi wake wa kweli kabisa ni $150b, hii itawekwa tu mtake msitake na sgr plus jnhpp ikianza kufanya kazi tutafika 200 soon.
Kuna ishu gani kubwa ya maana ambayo inaagizwa Nje ya Nchi kwenye mradi wa Bwawa la Umeme zaidi ya transfoma kubwa kubwa? Nyaya na vyuma vingine vyote vinatoka Tanzania..Bado nasisitiza uchumi wa Tanzania hautegemei miradi, mradi wa JNHP ni zaidi ya $3B sehemu kubwa ya hizi pesa zinaenda kuagiza mitambo nje ya nchi na kulipa constructors wa nje, excavators, bulldozers, loaders, trucks na mitambo mingi inachukua pesa nyingi sana kwenye miradi na yote hii inatoka nje ya nchi, diesel na petrol, lubricants na oils ni imported goods
Pesa inayobaki Tanzania ni mishahara, cement, nondo, mbao, food supplies na vitu vingine standard vinavyopatikana locally ambapo kwa miradi mingi mambo yote haya huwa ni 20% mpaka 30% ya gharama kuu ya mradi, ni watanzania wangapi wanaoajiriwa kwenye miradi na wenye viwanda vya hizo bidhaa watanufaika na huo mradi mpaka useme uchumi wa nchi nzima unategemea miradi? Labda hata 10k hawafiki directly and indirectly kwa mradi mmoja katika watanzania million zaidi ya 60
Tazara tu imeshatumia zaidi ya bilioni 6 kununua vifaa vya kupakia na kushusha mitambo ya JNHP, jiulize ni mitambo kiasi gani, juzi kati tazara imenunua well-wagons kutoka China, ndio wagon yenye uwezo wa kubeba uzito mkubwa kuliko wagons zote za reli AfricaKuna ishu gani kubwa ya maana ambayo inaagizwa Nje ya Nchi kwenye mradi wa Bwawa la Umeme zaidi ya transfoma kubwa kubwa? Nyaya na vyuma vingine vyote vinatoka Tanzania..
Mradi kama huo wa bwawa inaweza kuwa 70% ndani ya Nchi na 30% tuu Nje ya Nchi maana kazi kubwa ilikuwa ni civil Works ambazo Asilimia kubwa zinapatikana ndani ya Nchi.
Uchumi wa Tanzania ni public investment driven,hatuna Private Sector kubwa hapa Tanzania
Bashe 👏Hakuna hata Dola Moja itatumika kununua mbolea Nje ya Nchi,yote itanunuliwa na viwanda vya ndani..
Safi sana Serikali kanyaga twende