Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jirani hakosikani katika makundi ya hovyohovyo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapo huwezi waona wakikomenti proud kenya sijui bra bra[emoji23][emoji23][emoji23]....sijui much love from kenya...wako kimya..

Na wanaficha takwimu sana....kuna umaskini mkubwa sana kenya..Tanzania ikasome...

Huyo jamaa kasema wamechukua mikopo kibao toka 2008 ili 2030 wawe developed lakin hii imepelekea umaskini kuongezeka mara mbili hadi 60% ya population kukosa hata mlo mmoja kwa siku
 
Atakuja na blah blah za namba ya gari. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya wako hovyo sn, imagine hiyo gari inapiga route ndani ya Nairobi watatuambia nn tuwaelewe, mm binafsi tangu kuzaliwa sijawahi kuiona gari kama hiyo posta piga ua, hata mtaani tu sikumbuki, hawa jamaa ni mafukara mno hatupaswi kushindana nao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi vibanda upande wa kushoto vinatia kinyaa!
 
Nitakujibu kwa video za huyu Kijana Bertin...(Kijana nitampa maua yake anajitahidi kuonesha uhalisia wa mitaa ya Dar)

Hii video ni ya mwaka huu ikionyesha barabara zilizokaribu na Hilo jengo la PSSPF....ok unaonaje quality ya barabara


Kunakaa ushago kabisa!!
No uniformity!!!
A very ugly city.
Plus hujaprove izo barabara za nyuma ya ppsp ni lami!!! Barabara. Za mlango wa nyuma.
 
Umesahau hao waandishi wa habari wengi ni certificate!
 
Kunakaa ushago kabisa!!
No uniformity!!!
A very ugly city.
Plus hujaprove izo barabara za nyuma ya ppsp ni lami!!! Barabara. Za mlango wa nyuma.
Hebu ondoeni hivi vipanya ndani ya jiji lenu ndo ukomenti kiwivu juu ya Tanzania...

Pale ambapo umezidiwa unappreciated sio kila kitu unaponda tu na kutafuta weaknesses
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…