Hizi quality za barabara za Kenya zinatafakarisha sana.
Nairobi ni ndogo kama Choo cha jela, imagine 9km from CBD unakutana na huu ushagoo halafu tayari upo kwenye caunty nyingine yenye slums 😂😂😂😂
Mbweni Dar ni 30km from CBD lakini hata Westy plus Karen haoni ndani
Mpaka sasa ni 100km zimejengwa ndani ya Kigoma, muimba kwaya ya CCM ichoboy01 anatuambia 1000km 🤣🤣👇🏾
Hio ndio 10000 seater mamaeee 😅😅😅😅 kweli munatamani vzr na uwezo hamunaIt's not a bad start. Tukiwa na viwanja 47 kiwango cha kubeba watu 10000 vitasaidia sana kukuza michezo nchini. Kisha vitano vikubwa vije baadaye.
Hapa hivi vinakaribia kumalizika
1. Kipchoge Eldoret. 30000 seater
View attachment 2671494
2. HomaBay. 10000 seater
View attachment 2671501View attachment 2671506
😅😅😅😅😅😅😅It's not a bad start. Tukiwa na viwanja 47 kiwango cha kubeba watu 10000 vitasaidia sana kukuza michezo nchini. Kisha vitano vikubwa vije baadaye.
Hapa hivi vinakaribia kumalizika
1. Kipchoge Eldoret. 30000 seater
View attachment 2671494
2. HomaBay. 10000 seater
View attachment 2671501View attachment 2671506
100km ndo zimejengwa wakati Isiolo- mandera 850km, umeuona ujinga wako🤣🤣🤣🤣Ndio maana nimekwambia ww ni kondoo alaf unakasirika 😅😅😅 ujenzi ulioko kigomo alone ni sawa na ujenzi wote kenya wa barabara umeomba ushahidi nimekupa unaanza kulia tena
Hongera billionare rostam aziz
Na Mathare imo humo humo ingawa huwa mnajifanya kusahau🤣...Nairobi is a two sided just like Addis Ababa (360°)...
Inawezekana wewe hujui elimu ni nini
Kwani wewe unaposema taifa gas Kenya imefikia wapi unamaanisha kwamba haipo au unamaanisha nini mana nakuona ona unaizungumzia kikawaida kampuni iliyokuja kuwakomboa na hali ngumu.Taifa gas Kenya imefikia wapi[emoji1787][emoji1787]
Kauliza swali la kiwaki sana,au jamaa bado anapika na kuni?Kwani wewe unaposema taifa gas Kenya imefikia wapi unamaanisha kwamba haipo au unamaanisha nini mana nakuona ona unaizungumzia kikawaida kampuni iliyokuja kuwakomboa na hali ngumu.
Tunaongelea miradi inayoendelea kujengwa nimekwambia kigoma alone ujenzi wa barabara ni sawa na kenya nzima 😅😅😅100km ndo zimejengwa wakati Isiolo- mandera 850km, umeuona ujinga wako🤣🤣🤣🤣
That is very huge project, $200M of investment involving construction, do you expect it to be operational within one year?Taifa gas Kenya imefikia wapi[emoji1787][emoji1787]