Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
hehe....umeamua kuwavua nguo.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukisema this is how 99% of Tanzania best towns looks like wanasema wanaonewaHakuna kuficha tanzania yote ni slum, hii ndo zanzibar ambayo huwa tunaambiwa "best tourist location in africa"[emoji1484][emoji1484]View attachment 2670609View attachment 2670610View attachment 2670611View attachment 2670612View attachment 2670613
tz ukiomba aerial view wanatoweka kwa ground ni uswazi poverty tuEvery town and “city” in your LDC shithole is Uswaziland… taja any place in Bongo and I show you right now…[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
World Slums RankingsHivi mkuu huwa mnapata wapi nguvu za kujilinganisha na Tz? Kwasababu ya ka expressway cha km 11? Au vighorofa sita vya mchina mnavyoviita GTC? Mnapata wapi guts za kusema Tz kuna uswazi ikiwa hakuna county utakosa slums Kenya?
Mnaongoza duniani kwa kuwa na the biggest slum in the world, mko na hali mbaya kiuchumi kiasi kwamba hamuwezi kupata milo kamili 90% of you and I bet even you are the one of them, majority of Kenyans wish to live in Tz but never ever usikie mtanzania ana wish kuishi Kenya, nchi yenu iko hovyo sn, iko insecure kwa kila kitu health, food, shelter and everything, unapata wapi ujasiri wa kuiongelea Tz vibaya ikiwa mwaka haujapita hujisikii raha bila kuja Tanzania.
Yani utaunga unga upate nauli ya basi uje Tz ila ukija hapa JF unajifanya kuiponda, achana na blind patriotism sema ukweli inapobidi msee.
ila Mbeya aisee ni aibu! Ukikutana na wakina Mwakasifa na kitu kinachoonyeshwa humu utafikiri jamii hii haikuona darasa!Hizi picha sijui ni za miaka gani,Mbeya ya Sasa ni nyingine kabisaa View attachment 2670626View attachment 2670627View attachment 2670628View attachment 2670629View attachment 2670630View attachment 2670631View attachment 2670632View attachment 2670633View attachment 2670636View attachment 2670637View attachment 2670638View attachment 2670639View attachment 2670640View attachment 2670641View attachment 2670642View attachment 2670643
hehe...hiyo nchi ya uswazi uswazi sasa nini cha kuona surely.....hehe .I like how every foreigner tells you how you are 30 years behind Kenya in overral development but you bury your heads in the sand with that overrated impoverished country of yours....Niliwahi kuwapa home work wataje county moja ambayo haina slum wameshindwa mpk leo, Kenya ni Nairobi tena maeneo machache lkn ukitoka meter kadhaa kutoka Nairobi ni ushuzi kushoto kulia na ndiyo maana mkenya mwenzao Tony254 alipotaka kutoa siri waliogopa mno cz wanapenda sifa ambazo hawana, hawapendi kuishi kwenye uhalisia wao, thus y wana maisha magumu mno ukilinganisha na nchi zingine EA na wasipobadilika tutaendelea kuwaacha.
Kila siku wanapokuja Tz wanakuta ni tofauti na walivyoacha cz sisi tulikubali kubadilika japo matatizo hayaishi, ila wao ni ujuaji uliopitiliza, kila mkenya ni mjuaji ndio maana unakuta vurugu haziishi nchini mwao na miradi hakuna.
is that a refugee camp?Ukweli lazima tuwaambie, Tanzania ni slum moja kubwa, huu ni mji wa mbeya nyumbani kwa ChoiceVariable. Picha nzuri nilizopata ni hiziView attachment 2670619View attachment 2670620View attachment 2670622View attachment 2670623
Hii mbeya inatudhalilisha sana asee 🤣🤣ila Mbeya aisee ni aibu! Ukikutana na wakina Mwakasifa na kitu kinachoonyeshwa humu utafikiri jamii hii haikuona darasa!
aisee yani hawa jamaa sijui vp angalia ule uwanja wa mpira na vibanda vya maduka yalivyopangana! Yaani vuluvulu!Hii mbeya inatudhalilisha sana asee 🤣🤣
ungewafikisha Juja na Thika si wangezirai....lol.Yep. Almost 100% of Tanzanians who comment here have never been to Nairobi. Probably never even Namanga.
Every Tanzanian who's been to Nairobi goes back with many thoughts.
A year ago I hosted 2 of them for a wedding. They couldn't believe Kahawa Sukari was part of Nairobi, after what they thought was driving for an eternity.
Not to mention how they were impressed by general developments, especially buildings.
They were shocked that 20km from the CBD they were still seeing tall modern houses. [emoji23] [emoji23]
It was actually amusing.
Huu ndio uongo tunakuzungumzia.. hamtuzidi chochote .. hakuna hata kitu kimoja mnatuzidi.. zaidi tukienda ground hapa mtakimbia au mlete takwimu za uongo.hehe...hiyo nchi ya uswazi uswazi sasa nini cha kuona surely.....hehe .I like how every foreigner tells you how you are 30 years behind Kenya in overral development but you bury your heads in the sand with that overrated impoverished country of yours....
Bro kwenye hii picha zinaonekana gorofa sita ndefu the rest ni dwarf sasa ajabu hapa ni nini.? Nini ambacho unakiona kwenye hii picha Halaf unahisi hakipo in DAR.? 🤣 Nataka nikutoe tongongo leoWhen you compare a fishing village with this... NAIROBI
View attachment 2670743
wewe endelea kukalia mkeka huko spenso vigunguti uswazi mgumuLeo umeenda Kamukunji na lile sufuria lako kichwani?[emoji1787][emoji1787]
ignorance galore......clearly never travelled outside shithole tanganyika....so easy to tellHakuna county Kunyaland ambayo haina slums, hii ni kiambu 16km from Nairobi View attachment 2670524View attachment 2670525View attachment 2670526
Compare the HDI and GDP of kiambu with any of your overrated shithole district you post here....we are waitingKiambu ni caunty masikini sana hata usafiri wa umma na barabara ni mbovu, hakuna sehemu yenye ahueni ya maisha shakahola
View attachment 2670547
Foreigner yupi, wewe kwani hujui kuna infrastructure nyingi zipo Tz lkn huzipati Kenya wala East and Central Africa ila hakuna infrastructure yoyote ipo Kenya ikakosa kuwepo Tz? Unataka ushahidi? Kama hutaki ushahidi kaa kwa kutulia na uwe mpole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hehe...hiyo nchi ya uswazi uswazi sasa nini cha kuona surely.....hehe .I like how every foreigner tells you how you are 30 years behind Kenya in overral development but you bury your heads in the sand with that overrated impoverished country of yours....
Magufuli effect [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120]