Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unajua tropical heat nini ama kutapa tapa? hii hapa nikusaidie angalau
jaribu kufananisha na zile karanga za diamond zilizoungua kwa pakiti za Royco mchuzi mix

This is quality, alafu mtu anacompare na diamond karangas, hahaha hizo haziwezi make it here
 
Hio place shida ni ranchers. Kenyan whites wako na mashamba makubwa sana huko na wamekuwa in conflict na Wamasai na Wasamburu. Kuna wakati some white guy was killed na another rich woman, Kuki Gulliman shot. I guess these rich white ranchers ndio wanalipa polisi wauwe hao mifugo. Lakini this is political because some Maasai MP alikuwa ana incite Wamaasai waingie kwa mashamba ya wazungu hao forcefully and bringing tribal(racial) isht in the area. Those Maasai I guess want the whites gone but sioni those whites going anywhere coz most of them wameishi hapo for generations, guess late 1800 na early 1900s. But they own huge chunks of land which is not good to the locals. But as long as one has the Kenyan citizenship dont care the colour ama religion ama whatever hafai kuwa anaharrasiwa, this is the 21st century.
 
I heard they said the the cows were shot in crossfire since the herders were using the cows as cover. I have a 2 questions
1. Herders are known to die for their herd but this one's chose to hide behind their herd could it be the police were trying butcher the herder instead.
2. Going by the crossfire story. Then Over 400 bullets fired and non hit the target! If its not a cover story then this people need target practice ASAP.
 
This is quality, alafu mtu anacompare na diamond karangas, hahaha hizo haziwezi make it here
safi sana...naona mjadala wa diamond karanga bado una-trend...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
there were no bullets used. the cows were killed by a concussion bomb.
 
Sijawai ona ikitrend
tangu juzi mpo hapa mkitoa povu kuhusu diamond karanga kupatikana kenya....the more you keep discussing about it the popular it become.
huko ndio ku-trend kwenyewe ninakomainisha.

diamond karanga tibim(in babu uwino voice)
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
asante kwa ufananuzi maridhawa.
 
Ikitrend wapi??? Izo cheap PR zinakuvako...
 
Ikitrend wapi??? Izo cheap PR zinakuvako...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hio ndio julius nyerere internationa airport terminal 3 under construction very soon itakamilikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unataka kuona ujenzi ulipofkia????
mwekee na picha za mkandarasi akiwa site....tz ya sasa chini ya JPM sio ya watu wa porojo....awamu ya porojo aliondoka nayo kikwete.[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…