Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
basi huwajui wazungu....hio mambo ya ushoga kwa wanyama ndio huwa inawavutia sana tourists..vitu visivyo vya kawaida...tanzania ina wanyama sio? ila hakuna chochote kimeletwa kwa habari kote duniani in the last few days...ila hio ya ushoga kwa simba ipo kwenye kila media...so to us, its a tourist attraction...naona umeumia sana rohoni kwa kenya kupata Simba shoga.....hongera.![]()
NB:
laiti kama huyo simba angekuwa katika ardhi ya Tz,serikali kwa kupitia wizara ya maliasili na utalii isingekubari taarifa zake zifike kwenye shirika lolote la habari.
haraka sana angeondolewa mbugani kimya kimya na kupelekwa kwenye maficho kisha angedungwa sindano ya sumu ili afie mbali.
in aibu sana kwa mnyama jasiri kama simba kusikia eti kuna simba shoga katika nchi.