Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuonyeshe umoja phase one estate...El matador
 
sikuwahi kufikiria kuwa mafanikio ya mtanzania diamond plutnumz yanawatesa sana wakenya kiasi cha kutoa povu jingi sana kuhusu product yake ya karanga iliyoanza kupatikana nchini kenya hivi karibuni.

nilidhani wenye wivu na mafanikio yake watakuwa ni watanzania pekee maana ni kawaida kwa nabii kutoungwa mkono na watu wake wa nyumbani.

last 3 month,jiji la dar es salaam lilipata ugeni wa kahaba wa kikenya kwa jina la hudda monroe...alikuja ku-promote sambamba na kutafuta soko la product zake zinazohusiana na masuala ya urembo kwa kina dada.

hatukuona mtz hata mmoja kwenye ma-social media akitoa povu kuhusu product za kahaba hudda nchini tz.alipata support ya kutosha.


leo hii tunapoona wakenya wa jf wakitoa povu kuhusu product ya diamond karanga kupatikana nchini kenya,inatufanya tuamini ile tafsiri yao kuhusu neno "aggressive" kama ilivyoulizwa na comrade game over na kujibiwa na nyang'au mmoja.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

kwa hakika wakenya ni "uncooperative and hostile,ready to attack any tanzanian or any product owned by a tanzanian"..watu wa old stone age.[emoji23]
 
Kwa taarifa yako mbali na Mwanza, Arusha ina National Park kubwa kuliko Nairobi NP na Tanga pia kuna Saadani NP inayokuja mpaka baharini
 
Huko tanzania ni city but worldwide haijafika kiwango cha kuitwa city.....park ni moja duniani kwa sasa
 
Yaone haya mashenzi yalivyojawa na wivu...aibu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

nyinyi kuwabembeleza ndio hatuwezi. ....hizo chibu njugu haziko Kenya. na siwezi nunua hata nikiziona anywhere
 
.
Kwanza tafuteni suluhisho la maji safi na salama ndo mjifikirie kujilinganisha na miji yenye akili.



talking of water....only 9% of darislam has piped water compared to Nairobi at 80% plus.. .kupima Nairobi na mji underdeveloped kama dar inachekesha sana.Kwanza most of dar residents don't even depict an urban lifestyle just like the poor city itself.
 



it's only the demented Tanzanians that can compare their filthy city to Nairobi. hata watanzania wenzao honest wamekiri this obvious truth wakashambuliwa humu....Hahaha. There's a point this joke has to end
 
i just like how this diamond karanga conversion is trending in here.....let's keep arguing more and more....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]


has the cassanova run to south Africa to sing in the hotel bathroom.....Hahaha. Mtu alipata chance ku collabo na Jamaican akaimba tu ujinga. ...heri Willy Paul sasa
 



njugu za ujinga msituletee.....that's an insult to Kenya. maybe mjaribu Uganda kwa walala hoi wenzenu anaweza penya
 
nyinyi kuwabembeleza ndio hatuwezi. ....hizo chibu njugu haziko Kenya. na siwezi nunua hata nikiziona anywhere
Hakuna aliekwambia ununue ata ivyo...bidhaa zenu ngap ziko na hatuna habari nazo kwani inazuia nn ?ww kama imekuchoma sana Nunua wembe umeze
nyinyi kuwabembeleza ndio hatuwezi. ....hizo chibu njugu haziko Kenya. na siwezi nunua hata nikiziona anywhere
Hakuna aliekwambia ununue ata ivyo...unawivu wakimaskini
 
9% unaijua au unawashwa tu kuandika usivyojua....Sasa wewe unaishi kimaskini ndio unadhan kila mtu huishi kama ww. ..Nairobi is nothing my fren try to brag to bujumbura
 
njugu za ujinga msituletee..
tayari tumeshawaletea...mzigo upo ndani ya kenya ukiendekea Ku circulate kwa kasi ya hapa kazi tu...jinyonge.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna aliekwambia ununue ata ivyo...bidhaa zenu ngap ziko na hatuna habari nazo kwani inazuia nn ?ww kama imekuchoma sana Nunua wembe umeze

Hakuna aliekwambia ununue ata ivyo...unawivu wakimaskini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
diamond karanga in kenya.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…