Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kuongea kama unaliwa we kichaa.. 95% of these high rise buildings ni residential 👇..unaongea mpaka unanuka mdomo with no facts 🤣🤣
 
ingekuwa tz unapata uswazi slums kando ya tower..hehehe
Funny thing Ni kwamba biggest slums in the Africa ni kibera na Mathare .Tz haipo kwenye list .


Unashangaa ukijani [emoji16] hujui kama Tanzania ni ya kijani . Ukivuka Nairobi Ni sahara desert tu huko kulikobakia [emoji16] leta picha ya masarbit ,turkana,wajir hapa tucheke [emoji1787]
 
Hamna lolote tunajitengenezea na tunatengenezewa mazingira ya kuonekana hatuwezi ili wafanye ufisadi wao.

Tangia tumeanza kufanya ubia na watu wa nje tumefaidikaje?
 
Mkuu, huko Uingereza ambako pia DPW wamekabidhiwa bandari kuziendesha, pia mfumo wao wa elimu sio mzuri?. Watu Kama ninyi wenye kupenda Kulalamika bila sababu za msingi ndio tatizo kubwa la Afrika.
DP World hiyo bandari nafikiri wamekabidhiwa kwa mkataba upi? nijuavyo ni ubia. Niambie wewe, ni kwa mkataba upi, msiishie tu wamekabidhiwa huku, huko. Hakuna mtu anawapinga DP World, watu wanapinga aina ya mkataba.
 
Ndo maana sikuongelea uwezo mzee, nimeongelea performance! Sio kila mzungu ana uwezo mkubwa! Wengine ni maburura tu! As a matter of fact Wengi wao ni maburura tu!

Ishu performance. Watu wako kwenye sehemu zao za kazi hawako serious, wanafanya kazi kwa mazoea, hawathamini wateja wao, wanachukulia kila kitu kishakaji tu!

Matokea yake kila kitu kinakua kigumu kufanyika!

Nakupa mfano, nilinda benki flani na tatizo dogo tu, nilihangaika kama wiki tatu. Nikakasirika, nikampigia simu bosi wao makao makuu, akaniambia nisikate simu nimmpe huyo anaenisaidia hapo kwenye tawi akaongea nae kama dakika moja hivi...baada ya dakika tano nikawa nishamaliza kusaidiwa na tatizo limekwisha.

Sio kwamba yule dada anauwezo mdogo, ila niliona dhahiri kwamba hakuwa anajishugulisha na kutatua tatizo! Ana underperform!!
 
Hii yote ni ufisadi tuu ndo unatuponza mpaka kuwapa kampuni ya nje bandari mama kashindwa kushughulikia ufisadi ni wapewe tu hao dp world kidogo kutakua na afadhalii
Wizi wa bandari hauwezi kuisha mzee kama sisi wenyewe bado tupo pale, hata wewe mwenyewe ukipewa kitengo pale kesho baada ya wiki tu unaanza kupiga. Mizizi ya upigaji bandarini no mirefu sana!

Kama unaona nadangaya wewe hebu fikiria kwa nini watu wenye pesa mpaka leo ni vijana wa TPA na TRA tu!!

Kwa mfano wanongelea mifumo, unafikiri hakuna vijana wanaweza kijenga hiyo mifumo, au kununua?? Ishu ni kwamba watu hawataki, maana upigaji wao utapungua!!
 
Hata mimi nimekaa sana na watu wa aina mbalimbali (wazungu waarabu nk.) Duniani kote, watu wenye akili ni wachache sana haijalishi race ya mtu.

Sasa unakutana na malimbukeni wanaodhani low performance ni tatizo lilo exclusive kwa Watanzania litakalotatuliwa kwa kuleta watu wa nje na kushabikia makubaliano ya hovyo ya kuendesha bandari zetu. Mhmm...
 
Kwa sheria kali kiukweli kwa taifa tulilinalo na uongozi wa ******* ni uongo kuzitekeleza at least tumpe huyo DP world tuone ufanisi wake .. tena ikibidi shughuli karibu zote za bandari ziwe automatic .. tuanze nasisi ku operate automation ports kama huko ulimwenguni wanavyofanya.. wezi wote watapotea plus ufanisi wa bandari utaongezeka mara dufu
 
Unabadlisha mada.? 🤣🤣 Usisahau hapo hakuna gorofa za udongo mzee .. na zote Kati ya hizo buildings are between 10-20 floors. Na ni gorofa za maana
😂 😂🤣 Nimetembea Tanzania mimi. I know what I've seen.
Nyumba huko ni low-rise karibu zote. Especially residential. Nje ya jiji, you'll be lucky to find even 5-story buildings.

Kenya culture ya huku ni high rise. Estates ambazo hujawai skia hapa Jamiiforums, 10+ floors are the norm.

Ukienda estates zinazojulikana kama Kilimani, Lavington, South B na South C 15 and 20+ are the norm.
Na hizi ni purely residential bila duka za biashara.

Eastleigh alone is approving over 40 residential high-rises over 15 floors per year.
You have a long way to go.
 
Eistleigh ni slum tayari haina tofauti na pipeline, haina land bank, haina green spaces, haina paved streets, haina functional garbage collector, haina proper sewage and storm water management, haijulikani ni residential or shopping center, haina playing grounds, sio safe for kids and people with special needs, haina order, the next vertical kibera in the forging
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…