ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nimekujibu sehemu za TV nimeziona yawezekana hazijafungwa tu wamesema kichwa cha kwanza kinaingia julyVichwa vya hizo mabehewa viko wapi? Though am sure Tv hazipo.
Nimekujibu sehemu za TV nimeziona yawezekana hazijafungwa tu wamesema kichwa cha kwanza kinaingia julyVichwa vya hizo mabehewa viko wapi? Though am sure Tv hazipo.
Ninyi mjifunze kujilisha kwanza muondokane na aibu your whole president & minister are begging for exit permission from our deputy minister, hata hivyo mtakua mnashangaa sana watanzania wanajulikana kupenda anasa sana huwakosi kwenye maharusi, burudani, mipira daily lakini bado wanapata muda wa kufanya kazi na kulisha nchi 8 na export kubwa overseas, ninyi ambao hampo kwenye anasa hata kujilisha wenyewe tu shida asa muda wote huwa mna fanya shughuli gani?
Kudadadeki halafu utakuta kuna mbuzi zinashindana gari kali na Tz, pitieni hapa mjione mlivyo badoHapa ni Dar sio ulaya.








Wananchi hatunaga jambo dogo.
Wanakuambia wao wanafanya sana kazi, sasa hizo sijui wanafanya bure mana njaa haijawahi kuwatoka since uhuru.Ninyi mjifunze kujilisha kwanza muondokane na aibu your whole president & minister are begging for exit permission from our deputy minister, hata hivyo mtakua mnashangaa sana watanzania wanajulikana kupenda anasa sana huwakosi kwenye maharusi, burudani, mipira daily lakini bado wanapata muda wa kufanya kazi na kulisha nchi 8 na export kubwa overseas, ninyi ambao hampo kwenye anasa hata kujilisha wenyewe tu shida asa muda wote huwa mna fanya shughuli gani?
Huwezi kupata vyote duniani, lazima uangalie nini ni muhimu kwako, katika behewa za ghorofa muhimu zaidi ni capacity na low maintenance cost per capital". Kwenye biashara kitu muhimu Cha kuzingatia ni " Return ratio", yaani uweano wa uwekezaji vs kiwango kinachopatikana.Wacha kutupeleka refurbishment ingezingatia yaliyokosekana!
Naona ichoboy anawakandamiza tu



Ila hapa ametaja hiyo figure Ili kuwarusha roho.Wengi wameshakubali kwamba Tanzania ndiye baba ukanda huuHuwezi kujifanya mbabe na una njaa, this love letter Inaonesha namna mashakahola yalivyonywea, cha ajabu ni kwamba hawampersonalize Samia na huu utaratibu kama walivyokua wanafanya kwa JPM it was too much feelings and emotions, mpaka wame attach link kabisa wamekua kama flower girls wa GoT
Hivi Tanzania kuna sector yoyote tunaweza kuletwa on our knees na shakahola kiasi hiki?
View attachment 2653323
Hujaona traffic police wao wanapigana miti hadi kichakani wakiwa na uniform huku wakikamata magari barabarani.Inashangaza kiukwelina bado percent kubwa ya maisha yao wanayaendesha kwa nguvu ya remittance, ukijiuliza local mashakahola yanafanya kazi ipi zaidi ya kupigana miti mpaka kwenye public parks kama ngedere utaumia ubongo
Wanakuambia wao wanafanya sana kazi, sasa hizo sijui wanafanya bure mana njaa haijawahi kuwatoka since uhuru.
