joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Sawasawa kaka, huko ndio kukomaa kwa akili, kukubali tofauti za mawazo na misimamo, ni kosa kwa baadhi ya watu kujiona wao ndio wenye haki miliki ya mifumo ya maisha.View attachment 2644442
Umeamua kusapoti ushoga? Katika hili natofautiana na wewe ila kila la heri katika harakati zako.
Kwanini muite huu mlundikano wa mbavu za mbwa city? Hii wala sio village centerA section of Kisii and we haven't given it city status.....had it been tz..heheView attachment 2644365
Huu upumbavu mbona hiyo $2.7 bln wasianze kujenga Bagamoyo port?View attachment 264449450km bridge to Zanzibar: Tanzania in ‘advanced talks’ with Chinese firm - Global Construction Review
The Tanzanian government is planning to build a 50km bridge – the longest in Africa – between Dar es Salaam and the island of Zanzibar, Construct Africa reports.www.globalconstructionreview.com
Your education system is bogus, and you are a living testimony to that fact. Nairobi is just a little town and - on the other hand - Tanzania is massive country.Hahaha.....Tanzania is 30 years behind....I like this honest American
We unafikiri kwanini sisi huyu mama tunampinga kila kukicha?Huu upumbavu mbona hiyo $2.7 bln wasianze kujenga Bagamoyo port?
Hii habari ni ya uongo nyinyi mnaijua 50km kweli.View attachment 264449450km bridge to Zanzibar: Tanzania in ‘advanced talks’ with Chinese firm - Global Construction Review
The Tanzanian government is planning to build a 50km bridge – the longest in Africa – between Dar es Salaam and the island of Zanzibar, Construct Africa reports.www.globalconstructionreview.com
Acha lawama kijanaThe overrated overglorified Arusha has got nothing on Nakuru....tanzanians you are being conned big time and you think you have the best government in the world?I think complaining has really helped Kenya tower above its jealous neighbours bigtime....yet tanzania has kept making it difficult for free trade in fear of Kenyans....Haha......arusha our weekend pit stop
wewe unataka nyumba ziuzwe bei gani milioni 10?We unafikiri kwanini sisi huyu mama tunampinga kila kukicha?
Hata uwezo wa uongozi, matokeo yake group la mafisadi ndio linalwta miradi ya kifisadi kama ilivyokua kwa Kikwete.
Avic town, nyumba kibao ziko empty kwa sababu ya bei, mafisafi wakina Msechu wanaendelea walipo ishia na Miradi ya Samia Housing kuuza flats kwa million 200, nani atanunua?