Majuzi tulipobishana hapa kuhusu vyanzo vya nishati, kuna baadhi yetu walisifia umeme wa jua na kupinga nyuklia, eti hatuna uwezo wa kuuendesha., nikajiuliza warusi si wapo? Sasa hata wiki haijapita tunaambiwa Burundi watakuja kuwa na umeme huo, sisi tuendelee kuwa na vilaza kwenye wizara nyetu ndo tutajua hatujui.Ww ongea hvo hvo hata kwa iran walisema haiwezekani πππ sasa nchi zote zimeshtuka misri na turkey wanajengewa na russia
Tunaogopa sana maendeleo ndio shida yetu kubwa sana π π na lazma tuwe na vyanzo nafuu zaidi ili kuchochea viwanda na uwekezajiMajuzi tulipobishana hapa kuhusu vyanzo vya nishati, kuna baadhi yetu walisifia umeme wa jua na kupinga nyuklia, eti hatuna uwezo wa kuuendesha., nikajiuliza warusi si wapo? Sasa hata wiki haijapita tunaambiwa Burundi watakuja kuwa na umeme huo, sisi tuendelee kuwa na vilaza kwenye wizara nyetu ndo tutajua hatujui.
Eat thisππΎππΎππΎ
Are we talking about the same Kenyans that can't afford a decent meal a day?Arusha is a pit stop for Nairobians and wazungu...most tanzanians can't afford those hotels
Hakika atakumbukwa vizazi na vizazi.
Hii sio level ya stadium [emoji1787] halafu mbona hizi pitch zenu zinafanana muundo na vile viti vyenu vya bendera hata kuanzia ulinzi complex ,kinoru , afraha etc kwenye majukwaa vimeacha nafasi vingine havijaungana mmejenga vingivingi kwa mkupuo vile vya zamani kabisa siwezi walaumu ila hivi ambavyo ni vya karibuni aisee hii Ni wastage ya resources hapo utakuta mradi kuna mtu anakula mmeshindwa vipi kujenga kimoja kikubwa kuliko[emoji3] au hizo biggest stadiums ruto alizo wahaidi kipindi kile ?
Tunataka kila wadi iwe na Uwanja hata kama ni mdogo, ndipo Tukianza talanta mtaani, kila wadi ikiwa na timu iwe na Uwanja wa kutumia. Halafu vitazidi kufanyiwa ukarabati hapo mbeleniHii sio level ya stadium [emoji1787] halafu mbona hizi pitch zenu zinafanana muundo na vile viti vyenu vya bendera hata kuanzia ulinzi complex ,kinoru , afraha etc kwenye majukwaa vimeacha nafasi vingine havijaungana mmejenga vingivingi kwa mkupuo vile vya zamani kabisa siwezi walaumu ila hivi ambavyo ni vya karibuni aisee hii Ni wastage ya resources hapo utakuta mradi kuna mtu anakula mmeshindwa vipi kujenga kimoja kikubwa kuliko[emoji3] au hizo biggest stadiums ruto alizo wahaidi kipindi kile ?
Hakika ameacha alama kubwa, popote panapoguswa katika ujenzi wa Tz mpya yumo.
Ndio maana ni cheap.Inaanzia kibaha au mbezi kama sijakosea lakini serekali lazima kulipa fidia kwa ardhi za watu zitakazopitiwa na mradi huu so jibu ni yes lazma ilipe fidia
Kwani wewe pussy hujui kwamba Kenya ni corrupt shit hole country? Nani asiyejua kwamba corrupt shit hole country Kenya ni nchi ya kimavi mavi na rushwa, ni taifa gani linaikaribia Kenya kwa rushwa? Hako ka expressway kana km 27 tu na ni low quality infrastructure as usual lkn kame cost billions of money, subiri muone maana halisi ya value for Money pale expressway ya the most developed country in East and Central Africa itakapokamilika.Ndio maana ni cheap.
Mnuka mavi kama wewe unawezaje kuongea hivi.You know ukisota Kenya uingie tanganyika the cheap ass country unanunua duka nzima na 10k.....ksh.....that's why Subaru boys like partying in the overrated arusha
Hii ni icon (landmark) ya Arusha sasa
Cheap ukimaanisha nn sijakuelewa? Shida ya kenya miradi mingi sana kuna ufisadi wa kutisha na hili huwez kataa kila mtu anataka ale hapo hapo kwenye huo huo mradi kwann usiwe ghaliNdio maana ni cheap.