Nioneshe simu unayotumia wewe tafadhaliNajua kuna simu za china za maana kama OnePlus ama Xiaomi. Lakini Tecno, Infinix, sisi kama wakenya tumeziktaa
Mimi sin simu, lakinii Tecno siwezi tumia hata kidogoHebu tuoneshe sim unayotumia wewe?????
Kuna graph anael amepost huko juu, nadhani ni iPhone![]()
![]()
![]()
umepaliwa na chang'aa???si umesema wenye smartphone ni wachache??
Onyesha ktk hiyo takwimu kenya inaongoza ktk simu za aina gani???
Wewe jamaa ni bonge la mshamba sijawahi kuona. Hebu pitia website hapo chini uone Tecno zinavyouzwa kama njugu Kenya.Najua kuna simu za china za maana kama OnePlus ama Xiaomi. Lakini Tecno, Infinix, sisi kama wakenya tumeziktaa
Swali ni kwamba kwani tecno sio smartphone mbona hujibu sasaKuna graph anael amepost huko juu, nadhani ni iPhone
Anaona aibu wakat yeye anatumia tecno hapo alipoWewe jamaa ni bonge la mshamba sijawahi kuona. Hebu pitia website hapo chini uone Tecno zinavyouzwa kama njugu Kenya.
View attachment 621316
TECNO Shop - Buy TECNO products online | Jumia Kenya
Hapo ni karibu na mipaka ya Tanzania na Uganda. Nairobi, Nakuru , Yjika huwezi kaona Tecno bruh/sisWewe jamaa ni bonge la mshamba sijawahi kuona. Hebu pitia website hapo chini uone Tecno zinavyouzwa kama njugu Kenya.
View attachment 621316
TECNO Shop - Buy TECNO products online | Jumia Kenya
Ni low end smartphone, low qualitySwali ni kwamba kwani tecno sio smartphone mbona hujibu sasa
Mimi situmii smrtphone na sina nambari ya simu brotherAnaona aibu wakat yeye anatumia tecno hapo alipo
Fake info, usiamini google
😀😀😀😀😀😀😀 sasa kelele zote za niniT
Mimi situmii smrtphone na sina nambari ya simu brother
Narepresent Kenya😀😀😀😀😀😀😀 sasa kelele zote za nini
Yani kichwa yako ni ngumu hivo, haiwezi kuelewa vitu simple?
We were talking about most paying jobs(what does a job mean?) then this guy is speaking about farming, so am wondering how farming is a job.
Alafu wewe hata huna aibu na ni wewe unasema ati farming is the most paying job... Farming is farming, it's somewhat an SME so it's NOT an JOB that you get payed in salary, labda ni kiingereza ndio ngumu hapa...