Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichioboy huargue for the sake of it. Ukiangalia content kwa arguments zake ni almost zero. He lives in denial. Generally Kenya is more developed and better than Tanzaia, and that pains him a lot
So maana yake nini kua kenya inailisha tanzania au???
Wakat mwengine hua unaongea nonsense
 
Hahaha
Uzuri watanzania Wakenya wakianzisha kitu kinakuwa ni Toleo la 1970 kurudi nyuma
Tukijenga sio ni kitu cha kipekee kabisa
f5c25f9362505be9f1da81767707836d.jpg
10e8f895ec84c49cd0cbcf161c320006.jpg
c98fc78d24da068495e2be4da8f20a1e.jpg
Watakwambia lipo katikati ya nakuru na nairobi😀😀😀
 
We jamaa sijui njaa au nini.
Hebu soma report hii hapa ya matumizi ya smartphone Africa:
Smartphone-Brands-Ratio-in-Africa.jpg

Katika matumizi hapo ni aina gani ya simu mnaongoza kwa nyie wakenya? Sasa hiyo ni international Research
41% Tecno hahahaha lol. Unaona ata quality ni shida kwenu. Hii ni ratio, si the number of guys who own it
 
41% Tecno hahahaha lol. Unaona ata quality ni shida kwenu. Hii ni ratio, si the number of guys who own it
umepaliwa na chang'aa???si umesema wenye smartphone ni wachache??

Onyesha ktk hiyo takwimu kenya inaongoza ktk simu za aina gani???
 
So wewe ni kitu gani usichotumia cha mchina ikiwa hio SGR munatumia ya mchina😀😀😀😀😀
Najua kuna simu za china za maana kama OnePlus ama Xiaomi. Lakini Tecno, Infinix, sisi kama wakenya tumeziktaa
 
Back
Top Bottom