Wape na kimezeo hiyo itawakaba sababu ni kali sanaWalisema bagamoyo haijengwi...ogopa sana nchi iliotokea ujamaa ni hatariiii
sasa subiri tuone kati ya bagamoyo na lamu ipi ni white elephant😛😛😛
View attachment 621801
Mambo ni hayaWatu wanachoma hadi Kenyan vifaranga. .. .smh
Yaani Tanzania ni bandika bandua hiyo SGR ndio maisha yenu ukiiacha hiyo hamna kingine.
Yaani Tanzania ni bandika bandua hiyo SGR ndio maisha yenu ukiiacha hiyo hamna kingine.
walivyo wabinafsi na wivu wao wa kijinga,usishangae wakidai diamond karanga hazina ubora...wakati wengine hata kuzionja hawajawahiPiga Pesa
tafuta Mpunga
Endelea kutuwakilisha
![]()

Tye tye tyeI love renders
my fren, this is called technology transfer...ila naelewa, elimu yenu duni...😀😀😀Kumbe mnaendeshwa na wachina
Wahuni ao
Yaani Tanzania ni bandika bandua hiyo SGR ndio maisha yenu ukiiacha hiyo hamna kingine.
Light rail itabaki render siku zote😀😀 tatu city another render hehehembona umepanic ndugu?😀😀 projects zipo tele...sio sgr pekee yake
Lamu port (to begin operations in 2020)
![]()
Pipeline (mkataba umeshapigwa signature)
Light rail (to start construction December 2017)
![]()
Naivasha dry port
![]()
Tatu city
![]()
na kadhalika...pole bro😀😀😀
haya tusubiri basiLight rail itabaki render siku zote😀😀 tatu city another render hehehe
Alaf tusubiri tuone kati ya lamu au bagamoyo which is white elephant by 2020 usije kimbia tu humu ndani
Haya ila usiache kutuonesha other renders plz😀😀haya tusubiri basi
Hili linaleta shidaYani inasikitisha.View attachment 622094
Mm nafkiri lazma vilikua na magonjwa piaHili linaleta shida
nibora kuvitaifisha kuchoma moto!!
Thats just cruel and savage, ata animals have rights bana. Why hurt the poor chicklings in such a barbaric way? Tanzanians are trully backwards and savagesYani inasikitisha.View attachment 622094