Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanzo kabisa siyo mwanadamu bali ni Mungu aliweka maono na maarifa kwa mwanadamu.

Sasa ikaingia uchakachuaji na ukengeufu watu wakaanza kupotosha msingi na kusudio la Mungu.

Mahali palipo na Fake jua ipo Original yake. Haya yote unayoyaona yalishatabiriwa, manabii wa uongo watajitokeza kwa jina lake na kudanganya wengi.

Wanajitokeza manabii wa uongo ili kutimiza unabii wa maandiko. Soma Mathayo 24 yote mkuu.
 
Kwahio nikiamuru laptop yangu kwa kuiambia zima.. na ikazima ..laptop yangu inakuwa kiumbe hai?
Au hata hizi simu zetu, ukisema switch off, na ikaswitch off.. simu inakuwa kiumbe hai?
Inakuwa kiumbe hai kwasababu imesikia sauti na kutii. Kiumbe hai husikia sauti.

Hapa alizungumzia kiroho zaidi, maana yake hakuna jambo linalotokea mwilini pasipo kuanzia rohoni.

Hii mada naona hapa si pahala pake.
 
Kwamba binadamu alikuwa sokwe? Haya na huyo sokwe mbn hakuwa binadamu mpaka leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro me naona huku angepaacha tu maana ameonyesha udhaifu mkubwa sana.
 
Inakuwa kiumbe hai kwasababu imesikia sauti na kutii. Kiumbe hai husikia sauti.

Hapa alizungumzia kiroho zaidi, maana yake hakuna jambo linalotokea mwilini pasipo kuanzia rohoni.

Hii mada naona hapa si pahala pake.
Ni mahali pake kama itasaidia kuondoka ujinga.. elimu haina mwisho.. penda sana kujifunza kitu mana hujui itakusaidia wapi..
Upepo sio kiumbe hai.. kiumbe hai ni kitu kinachoweza kujikongoja au kumove au kuzaliana au kuhisi au kupumua chenyeww. Upepo una sifa gan hapo hata moja?
 
Hivi kizazi cha akina mwl Nyerere kilivyokuwa na uadilifu katika Uongozi, misingi imara waliyoiacha, ungetegemea kingekuja kizazi cha ufisadi, wizi, rushwa, upigaji, na upuuzi mwingine?

Tunaweza kuwalaumu kwamba kama wao walijenga Taifa la uadilifi iweje sasa hivi kuna wizi?

Wazungu au Waarabu walioasisi dini wale wa mwanzo hawakusema vizazi vijavyo viruhusu ushoga na usagaji.

Ukengeufu wao wa sasa hivi na hasa kutimiza unabii tusiwahukumu waliotangulia, au tusitumie maovu ya kizazi cha leo kuhalalisha uovu wetu.
 
Bila shaka wewe ni mkristo. So ukristo ambapo ndio ulipo ndo dini original, na dini nyingine ni fake?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro me naona huku angepaacha tu maana ameonyesha udhaifu mkubwa sana.
Sanaaa, alafu mm mtu ninayemkubali akiongea kiudhaifu dhaifu huwa najisikia vibaya sana, ni bora aachane na hii mada kabisa.
 
Mkuu naamini uwezo wako na naheshimu mawazo yako hii mada achana nayo.
 
Upepo hausafiri? Si ndio kujongea mkuu?

Kisayansi unaweza kusema hauna uhai ila kiroho ni hai.

Tunapishana na wewe kwasababu unajikita Kisayansi zaidi, huku mimi niko kiroho zaidi.
 
Mkuu, hata wewe unaamini kuwa tulitokana na Chimpazee mzee?
Mkuu, Mimi ni muumini wa Sayansi na ninaijua vizuri Sana, ukichunguza kwa makini Sana, utaelewa kwamba viumbe vyote "once vilianzia Kama "Single cell organisms, kuanzia hapo safari ya multiplication of single cell ikaanza na species mbalimbali zikajitokeza kutokana na nguvu za mazingira za maeneo husika na vipindi mbalimbali katika umri wa Dunia.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hizo nguvu za kimazingira zimetokea wapi na nani muanzilishi wa hizo nguvu au zimejitokea zenyewe tu bila muanzilishi.
 
Mimi pia ninaamini huyu anayeitwa Mungu kwamba ndiye muumba wa vitu vyote. Siyo kwamba namjua Yeye kwasababu eti niliambiwa na wazazi wangu la hasha ni kwa maarifa yangu.

Na hapa sina jinsi ya kukuaminisha ili unielewe na kuniamini mambo mengine hubakia sirini siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…