joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mkuu, kuhusu mateja kukatazwa inatokana na kwamba biashara ya madawa ya Kulevya imepigwa marufuku duniani. Kabla ya hapo ilikua inafanyika Kama kawaida na watu walitumia, lakini baadae Dunia ilikubaliana kwamba kuuza na matumizi ya madawa ya Kulevya Kuna athari mbaya duniani(Usiniuliza ubaya gani kwasababu sikuwepo enzi hizo).Huo ni mfano halisia kabisa, lengo la kukataa uteja ni kutokana na athari zinazopatikana kwenye tabia hiyo, vivyo hivyo ushoga una athari kubwa kwa afya ya mwanadamu na ndiyo maana tunapinga ushoga, pia hata kimaadili sio sawa mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile sio tu mwanaume bali hata mwanamke sio vizuri kiafya.
Mkuu ngoja nikuulize swali la kizushi, hivi wewe uko ladhi mwanao aingiliwe kinyume na maumbile? Unajua tusiweke mijadala kwa minajili ya kuonekana tunashinda au kuonekana wazuri kwenye kujenga na kutetea hoja, je wewe ungefurahi mwanao kufanyiwa hivyo? Na kama hutofurahi kwnn usikemee japo kupunguza tabia hiyo?
Hatuwezi kumaliza tatizo lkn pia hatuwezi kukaa kimya tatizo linapotokea, ni lazima kupambana kulipunguza, Tanzania hairuhusu ushoga na ndiyo maana yule askari alipogundulika ni shoga alifukuzwa.
Kwani mkuu, imeweka ushahidi wowote wenye kuonyesha kwamba ushoga ni laana?[emoji23][emoji23][emoji23]Bro unanitag kwenye vitu gani? Mwambie alete ushahidi sio analeta porojo[emoji38][emoji38][emoji38]
Alikua uganda akaja kenya sasa yuko burundi ππππTatizo mnaiogopa Sana Mombasa, munatamani ingekua tanzakundu badala ya dar slum.
Ok tumalize kwa kukubali kutokukubaliana, mm nafuata nchi yangu inapinga ushoga na nitabaki hivyo sitasikia la mtu katika hili iwe hadharani au kwa kificho.Mkuu, kuhusu mateja kukatazwa inatokana na kwamba biashara ya madawa ya Kulevya imepigwa marufuku duniani. Kabla ya hapo ilikua inafanyika Kama kawaida na watu walitumia, lakini baadae Dunia ilikubaliana kwamba kuuza na matumizi ya madawa ya Kulevya Kuna athari mbaya duniani(Usiniuliza ubaya gani kwasababu sikuwepo enzi hizo).
Kuhusu ushoga, ukiachana na maneno ya mitaani na Imani za kidini, hakuna ushahidi wowote wa kisayansi(Medical), unaotaja athari za ushoga ulkiacha athari za kawaida zitokanazo na tendo la "sex" ambazo pia hutokea kwa njia zingine(Vaginal).
Kwamba Mimi ninakubali au sikubali kuwa na mtoto au ndugu wa aina hiyo?. Sijui Kama jibu langu litakua na maana yoyote, kwasababu ninaweza Mimi nikawa sikubali, lakini kunao wale ambao wanakubali. Tunapaswa kuweka mazingira ambayo ni rafiki kwa Kila mtu, mwenye kukubali na asiyekubali ushoga
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tanzania inayojipendekeza ameikacha,na hii ni ziara ya pili Africa anafanya.Alikua uganda akaja kenya sasa yuko burundi ππππ
Hili ni tatizo kubwa sana la waafrika, hakuna ulazima wowote wa yeye kuja na Tz.Tanzania inayojipendekeza ameikacha,na hii ni ziara ya pili Africa anafanya.
Ushahidi uko wapi?? Mm naona porojoKwani mkuu, imeweka ushahidi wowote wenye kuonyesha kwamba ushoga ni laana?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ww umejuaje kama ameikacha je akitoka burundi akaenda uganda alaf tanzania utasemaje?? Punguza ushakunaku mtoto wakiume jikaze kidogoTanzania inayojipendekeza ameikacha,na hii ni ziara ya pili Africa anafanya.
Alaa kwako hupendi Wageni au rafiki zako kukutembelea au siyo? π€£π€£π€£Hili ni tatizo kubwa sana la waafrika, hakuna ulazima wowote wa yeye kuja na Tz.
Kwani ratiba ni Siri yake Iko kwenye kimemo? ππππWw umejuaje kama ameikacha je akitoka burundi akaenda uganda alaf tanzania utasemaje?? Punguza ushakunaku mtoto wakiume jikaze kidogo
Waache wachochee moto wenyewe bakhmut ishachukuliwa sasa ni kiev unafkiri russia inapupa ndio maana ikatanfaza special operation kwao sio vita ila wanajua kabisa kua wanapigana na nato sio ukraine ndio maana unaona germany ishaingia kwenye mdororo wa uchumi taratibu kitaeleweka tu ππππππichoboy01
Tunaelekea kutamu πππMlizoea kupiga kiev Sasa mtafuatwa huko huko tuone Yale matakata mnaitaga s400 kama yatazuia mabomu.
Zele Kamatia hapo hapo ππ
Hivyo ndivyo inavyotakikana, kwamba Kila mtu afuate kile anachokiamini. Uganda wanaamini katika kuwaadhibu wote wenye kujihusisha na ushoga, tuwaache waganda wafuate na watekeleze wanachokiamini.Ok tumalize kwa kukubali kutokukubaliana, mm nafuata nchi yangu inapinga ushoga na nitabaki hivyo sitasikia la mtu katika hili iwe hadharani au kwa kificho.
Ratiba ni siri ndio ww ulijua anakwenda burundi?? Jikaze ww na tiba ndio ile niliokwambia asikudanganye mtu yoyoteKwani ratiba ni Siri yake Iko kwenye kimemo? ππππ
Moto umeanza kuwaka Moscow ngoja tuone mwisho wake
Ushahidi uko wapi?? Mm naona porojo
Kwani lengo la kuumbwa mwanamke na mwanaume lilikua nn ?? Au MUNGU sio mjuzi kuliko beberu?? Kwan shetani duniani yuko kwa kazi gani ?? Wapi uliona mbuzi dume akampanda dume wakapata watoto??[emoji38][emoji38]
Kwann tunapindisha mstari wakat kila jambo liko wazi kabisa kwani lengo la ushoga hulijui au nikwambie?? Lengo la ushoga sio starehe kama ulivosema ww na kama ulidangangwa hvo pole sana
Lengo la ushoga ni kupunguza idadi ya binaadamu kwa kuwafanya wanaume waache majukumu yao na wanawake wasahau majukumu yao kwa kusagana ili kizazi kitoweke kibaki kizazi ambacho hata kuvunja biskuti kiwe hakiwezi [emoji38][emoji38][emoji38]
Na nimeskia juzi saud arabia ananunua diesel russia alaf anawauzia tena europe πKwani ratiba ni Siri yake Iko kwenye kimemo? ππππ
Moto umeanza kuwaka Moscow ngoja tuone mwisho wake
Mm sijaingizia suala la Mungu mana kwa mantiki ya waleta hoja hawaamini uwepo wa Mungu, na jambo hili linazidi kuota mizizi humu JF na ndiyo chanzo kikubwa cha ushetani siku hizi.Ushahidi uko wapi?? Mm naona porojo
Kwani lengo la kuumbwa mwanamke na mwanaume lilikua nn ?? Au MUNGU sio mjuzi kuliko beberu?? Kwan shetani duniani yuko kwa kazi gani ?? Wapi uliona mbuzi dume akampanda dume wakapata watoto??[emoji38][emoji38]
Kwann tunapindisha mstari wakat kila jambo liko wazi kabisa kwani lengo la ushoga hulijui au nikwambie?? Lengo la ushoga sio starehe kama ulivosema ww na kama ulidangangwa hvo pole sana
Lengo la ushoga ni kupunguza idadi ya binaadamu kwa kuwafanya wanaume waache majukumu yao na wanawake wasahau majukumu yao kwa kusagana ili kizazi kitoweke kibaki kizazi ambacho hata kuvunja biskuti kiwe hakiwezi [emoji38][emoji38][emoji38]
Hawajiamini Wanaogopa kulambishwa Ardhi ππRatiba ni siri ndio ww ulijua anakwenda burundi?? Jikaze ww na tiba ndio ile niliokwambia asikudanganye mtu yoyote