joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Sasa si ndo wazee wa baraza?Watanzania mnaharibu huu uzi, mtabaki huku pekee yenu mkijiongelesha. Unaingia uzi kutoka juu hadi chini hamna picha za dar ni matweet tu za ichoboy na joto na maneno tupu na porojo
Visima vya mafuta South Sudan vilo mostly under China! Get ur facts right. .Kumbe hujui kuwa Darfur ina mafuta mengi na hiyo ya kuua watu weusi ilikuwa ni njia ya kuwahamisha wakazi hao ili kupisha uchimbaji. kipindi hicho, China National Petroleum Company (CNPC) ndiyo walikuwa wawekezaji wakuu wa nje kwa serikali ya Sudan. Ile ilikuwa ni proxy war kati ya China na Marekani huku ikihusisha serikali ya Chad.
Ndiyo, visima vingi vya mafuta viko sudani ya kusini, huku mashirika ya mafuta ya magharibi yakiwa na umiliki. Mwamba huo wa mafuta unaambaa mpaka Hoima ambako ndiko bomba letu la mafuta litaanzia.
Rais wa Somalia Mohamed Barre aliondolewe (1991), huyu alikuwa ni mjamaa na ni mwaka huo huo USSR ilisambaratika.
Zenawi wa Ethiopia naye aliingia maradakani 1991, na kama ulikuwa hufahamu serikali zote duniani zilizoingia madarakani 1991 zilikuwa supported na west (pamoja na ya Yeltin). Hawa wa Tigrinya (kabila dogo la Ethiopia) ndio walioitawala Ethiopia kwa miaka 30, wakipata support kutoka magharibi. Walijipendelea sehemu zote za serekali na kusababisha kabila kubwa la Oromo kutaka kujitenga.
Rais wa sasa Abiy alipoingia sera yake ilikuwa ni kuiunganisha nchi, Watigrinya wakataka kuiangusha serikali yake lakini kwa masaada wa China na Turkey waliweza kushinda.
Dah, wakati mwingine sielewi kama unatania au la.
Congo toka kuuawa kwa Lumumba imekuwa haitawaliki ili madini yaendelee kutoroshwa. Hivi umesahau muda si mrefu gari la UN lilidondoka na kumwaga madini? Sasa UN na madini wapi na wapi?
Danganyika na Uchawi ni kama chada na pete.
No danganyikan media House has reported this, news zote hadi hapa jamii forums ni sifa kwa CCM pekee [emoji1787]
[emoji1787]
View attachment 2633233
Yani uzi ulkua mapicha tu ya dar vs Nairobi sasa umetekwa nyara na wenzakoSasa si ndo wazee wa baraza?
Mkuu, haya mawazo ya kuyaona mataifa makubwa ndiyo yenye kuongoza Kila kitu hapa Africa ni mawazo ya kujidhalilisha Sana.Kumbe hujui kuwa Darfur ina mafuta mengi na hiyo ya kuua watu weusi ilikuwa ni njia ya kuwahamisha wakazi hao ili kupisha uchimbaji. kipindi hicho, China National Petroleum Company (CNPC) ndiyo walikuwa wawekezaji wakuu wa nje kwa serikali ya Sudan. Ile ilikuwa ni proxy war kati ya China na Marekani huku ikihusisha serikali ya Chad.
Ndiyo, visima vingi vya mafuta viko sudani ya kusini, huku mashirika ya mafuta ya magharibi yakiwa na umiliki. Mwamba huo wa mafuta unaambaa mpaka Hoima ambako ndiko bomba letu la mafuta litaanzia.
Rais wa Somalia Mohamed Barre aliondolewe (1991), huyu alikuwa ni mjamaa na ni mwaka huo huo USSR ilisambaratika.
Zenawi wa Ethiopia naye aliingia maradakani 1991, na kama ulikuwa hufahamu serikali zote duniani zilizoingia madarakani 1991 zilikuwa supported na west (pamoja na ya Yeltin). Hawa wa Tigrinya (kabila dogo la Ethiopia) ndio walioitawala Ethiopia kwa miaka 30, wakipata support kutoka magharibi. Walijipendelea sehemu zote za serekali na kusababisha kabila kubwa la Oromo kutaka kujitenga.
Rais wa sasa Abiy alipoingia sera yake ilikuwa ni kuiunganisha nchi, Watigrinya wakataka kuiangusha serikali yake lakini kwa masaada wa China na Turkey waliweza kushinda.
Dah, wakati mwingine sielewi kama unatania au la.
Congo toka kuuawa kwa Lumumba imekuwa haitawaliki ili madini yaendelee kutoroshwa. Hivi umesahau muda si mrefu gari la UN lilidondoka na kumwaga madini? Sasa UN na madini wapi na wapi?
Mkuu, toa ushahidi wa hii point yake.Kumbe hujui kuwa Darfur ina mafuta mengi na hiyo ya kuua watu weusi ilikuwa ni njia ya kuwahamisha wakazi hao ili kupisha uchimbaji. kipindi hicho, China National Petroleum Company (CNPC) ndiyo walikuwa wawekezaji wakuu wa nje kwa serikali ya Sudan. Ile ilikuwa ni proxy war kati ya China na Marekani huku ikihusisha serikali ya Chad.
Ndiyo, visima vingi vya mafuta viko sudani ya kusini, huku mashirika ya mafuta ya magharibi yakiwa na umiliki. Mwamba huo wa mafuta unaambaa mpaka Hoima ambako ndiko bomba letu la mafuta litaanzia.
Rais wa Somalia Mohamed Barre aliondolewe (1991), huyu alikuwa ni mjamaa na ni mwaka huo huo USSR ilisambaratika.
Zenawi wa Ethiopia naye aliingia maradakani 1991, na kama ulikuwa hufahamu serikali zote duniani zilizoingia madarakani 1991 zilikuwa supported na west (pamoja na ya Yeltin). Hawa wa Tigrinya (kabila dogo la Ethiopia) ndio walioitawala Ethiopia kwa miaka 30, wakipata support kutoka magharibi. Walijipendelea sehemu zote za serekali na kusababisha kabila kubwa la Oromo kutaka kujitenga.
Rais wa sasa Abiy alipoingia sera yake ilikuwa ni kuiunganisha nchi, Watigrinya wakataka kuiangusha serikali yake lakini kwa masaada wa China na Turkey waliweza kushinda.
Dah, wakati mwingine sielewi kama unatania au la.
Congo toka kuuawa kwa Lumumba imekuwa haitawaliki ili madini yaendelee kutoroshwa. Hivi umesahau muda si mrefu gari la UN lilidondoka na kumwaga madini? Sasa UN na madini wapi na wapi?
Sasa mbona baada ya kumuondoa Said Barre vita vinaendelea?. Mkuu mbona hueleweki?, mara useme lengo ni kumiliki Mali za waafrika, mara njia za kupitisha meli, mara kwasababu Siade Bare alikua anafuata sera za ujamaa, Sasa tukueleweje?.Kumbe hujui kuwa Darfur ina mafuta mengi na hiyo ya kuua watu weusi ilikuwa ni njia ya kuwahamisha wakazi hao ili kupisha uchimbaji. kipindi hicho, China National Petroleum Company (CNPC) ndiyo walikuwa wawekezaji wakuu wa nje kwa serikali ya Sudan. Ile ilikuwa ni proxy war kati ya China na Marekani huku ikihusisha serikali ya Chad.
Ndiyo, visima vingi vya mafuta viko sudani ya kusini, huku mashirika ya mafuta ya magharibi yakiwa na umiliki. Mwamba huo wa mafuta unaambaa mpaka Hoima ambako ndiko bomba letu la mafuta litaanzia.
Rais wa Somalia Mohamed Barre aliondolewe (1991), huyu alikuwa ni mjamaa na ni mwaka huo huo USSR ilisambaratika.
Zenawi wa Ethiopia naye aliingia maradakani 1991, na kama ulikuwa hufahamu serikali zote duniani zilizoingia madarakani 1991 zilikuwa supported na west (pamoja na ya Yeltin). Hawa wa Tigrinya (kabila dogo la Ethiopia) ndio walioitawala Ethiopia kwa miaka 30, wakipata support kutoka magharibi. Walijipendelea sehemu zote za serekali na kusababisha kabila kubwa la Oromo kutaka kujitenga.
Rais wa sasa Abiy alipoingia sera yake ilikuwa ni kuiunganisha nchi, Watigrinya wakataka kuiangusha serikali yake lakini kwa masaada wa China na Turkey waliweza kushinda.
Dah, wakati mwingine sielewi kama unatania au la.
Congo toka kuuawa kwa Lumumba imekuwa haitawaliki ili madini yaendelee kutoroshwa. Hivi umesahau muda si mrefu gari la UN lilidondoka na kumwaga madini? Sasa UN na madini wapi na wapi?
Yaani unajifanya kusahau yaliyotokea Shakahola?Danganyika na Uchawi ni kama chada na pete.
No danganyikan media House has reported this, news zote hadi hapa jamii forums ni sifa kwa CCM pekee 🤣
🤣
View attachment 2633233
Tuongeze route China kati ya Beijing na Shanghai ili kupata hao watalii. Maana hakuna kampuni ya China inakuja moja kwa moja Tanzania.Safi kabisa na mwaka huu zitaingia boeing 737-9 ziko mbili pia yani tunataka 2025 tuwe na watalii walau 4m to 4.5m kwa mwaka
That’s what I complained about…. So I let ‘em know that two can play that game… they wanna be keyboard warriors, ok!… Let’s roll…. But I wish we can go back to our senses…. Unfortunately you can’t reason with an illiterate majority…. And so the very stupid battle continues…..Yani uzi ulkua mapicha tu ya dar vs Nairobi sasa umetekwa nyara na wenzako
Shakahola is one isolated incident of religious brainwashing….. but Uchawi is a fabric of your DNA….🤣🤣🤣🤣🤣Yaani unajifanya kusahau yaliyotokea Shakahola?
So who’s your role model?… please spit it out!… we are anxiously waiting……😂😂😂USA is not our role model, we are not slaves like you. We have our own way of life. The truth of the matter is that "You have nothing to celebrate".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Inaitwa Freedom of speech… it’s inked in our constitution…. I know that’s something alien to you…. 🤣🤣🤣🤣🤣Wajackoya hajawahi kuvuta bhangi, hiyo ni akili yake ya kawaida. Kawaida wakenya bado ni very "uncivilized people", Sikiliza jinsi Babu Owino anavyotukana, au Aisha Jumwa, ninyi hamna heshima Wala ustaarabu, hovyo sana ninyi watu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣….. irony alert!!!!!!….. I rest my case…🤣🤣🤣🤣Pilipili usiyoila yakuwashia nini?