Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya ni watu wa ajabu Sana, wao wanasema wamefanya kazi vizuri, lakini wahusika wanasema hakuna kitu KDF imefanya katika kuwaletea amani DRC . Swali la kujiuliza ni kwamba inawezekanaje mtu aliyepewa kazi anajipangia anajifanyia mwenyewe "evaluation?".


Ina maana huwa unamsikiliza yule kondoo humu?
 
Mradi wa Kimkakati.

IMG_7316.jpg

IMG_7317.jpg

IMG_7318.jpg

IMG_7319.jpg
 
Brian the best rapper in Africa by far.
Young tanzanians(youths) wanamtambua sana, wewe ni Mzee huwezi.
Hafadhali Saut soul wanajulikana na huwa wanakuja kupiga show, japo watu hawaingii kwa wingi, lakini Kaligraph huku Tanzania hakuna mtu anayeshabikia mziki wake. Onyesha lini alikuja kupiga show Bongo?

Unless a musician is endorsed by Tanzanians, Nigerians and South African, otherwise that musician is underdog always.
 
KDF didn't take Goma, actually M23 didn't surrender any territory, instead they are still collecting taxes from those areas which surrendered to KDF and UPDF, listen carefully

We aint losing even one soldier for a worthless course....may our men come back home and serve fellow kenyans
 

Attachments

  • 9DF42675-F1F5-4D78-9504-62B84470ECCA.jpeg
    9DF42675-F1F5-4D78-9504-62B84470ECCA.jpeg
    565.9 KB · Views: 19
Na yule mwingine anaitwa kimbg nafikiri ni wewe mwenyewe, majina yenu na comments zenu zinaniboa sn.
Best 007… kwani unaniogopa…. i missed your presence!… Psych!…… I don’t know no Kimbg…. Am based in the States…. So if you ever visit America 🇺🇸 one day… holla at me…. I like to be nice to you since I might fly to Zanzibar this Christmas via JNIA and I heard you are Airport security… I need my luggage safe….🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nobody cares about single roads nomore…. Show us the likes of Thika Nyeri Highway… or forever hold your peace…😂😂😂😂🤣
Thika Nyeri ni highway ya kwenda wapi? This is Tanzam Highway
 
Back
Top Bottom