ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Kwani hakuwa favourite wa Msoga kabla ya Mwendazake?Kumbe huyo “mzalendo wenu” alikuwa mshindani 2013!![]()
Mradi ulikuwa uendelee baada ya Uchaguzi.
Kwani hakuwa favourite wa Msoga kabla ya Mwendazake?Kumbe huyo “mzalendo wenu” alikuwa mshindani 2013!![]()
Kwani hakuwa favourite wa Msoga kabla ya Mwendazake?
Mradi ulikuwa uendelee baada ya Uchaguzi.



This can't happen in some failed states where only two tribes have birth wright for that post.
Utafikiri huku ni Arizona

Kaligraph inatumika kufanyiwa nini?Wewe unamjua. Yeye hakujui.
Ase nimecheka sana mashashola na wewe unataka nkupe spana tulia DOGO...Ujinga, umaskini na upumbavu Tanzania utasambazwa kizazi hadi kingine kutoka majimaji rebellion
Level za khaligraph ni hawa watoto wadogo kwa huku Tz tena khaligraph hamgusi huyu dogo
Huku nako ni mob
Najua kuna wakenya awajaelewa apo na akielewa ataona wivu
Kaligraph hajulikani Tanzania, sidhani Kama alishawahi kupiga show BongoHUyu Yuko down sana,
Ndio maana Kenya hajulikani kabisa!
Ndio namsikia leo.
Anaimba kama marapper wa 1995!
Very old school.