Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hio barabara wameshaanza kuitanua nilipopita dodoma january niliona ujenzi unaendelea

Weekend iliyopita nlikuwa Dodoma, nmeona pale nanenane eneo linalotakiwa kujengwa uwanja wa michezo wa kisasa panasafishwa tena. Hope soon we will see groundworks as we have an active bid to Host AFCON 2027 and there are 0.9 probability of winning the Bid.
 
Vijiji vyao viko hovyo sn, Kenya ni Nairobi tu.View attachment 2623690View attachment 2623691

Huku Laikipia si ndio kuna ule uvumbuzi wa Gari mpya na ya kisasa aina ya BJ-50? (BlowJob-50 times) ??
IMG_9523.jpg

IMG_9522.jpg

IMG_9521.jpg
 
Kenyans hate dictating anything from politics to culture, we don't do or force force things to conform to something, we just move with the flow. Kenyas culture in the 21st century is highly influenced by the Western culture that's why you can easily compare buildings in Nairobi to those in Newyork .
Hii ni mbaya...hakuna umaskini mbaya kama ule wa kupoteza asili yako, tamaduni zako nk...

Huko ni kujikataa, kutojiamini na ni rahisi mtu yoyote kukutumia anavyotaka....

Kenya is still colonized despite ya wazee wa MauMau waliokufa kwa ajili yenu...
It's so pity...ptu!!
 
Ok let’s play that game…. From now forth the rules of battle engagement has changed since you wanna dwell on stupidity….this bukoba today…
Naona umekosa hoja sasa...Bukoba vijijini imekutisha mpaka unaanza kuokota traditional houses na museum za haya people[emoji23][emoji23][emoji23] na nyumba za kambi za kilimo[emoji1787][emoji1787]

Hizo nyumba ulizopost ni traditional museums za haya tribe huko Bukoba...

BRO UTAGOOGLE SANA...UTAAMBULIA MUSEUM, KAMBI ZA KILIMO NA WAVUVI NK....

Tanzania villages are the most developed in the region...kwanza wanakula wanashiba

DSCF3842.JPG
images%20(1)%20(1).jpg
420px-Mushonge_Museum%2C_Kamachumu_Plateau%2C_Kagera_Region%2C_Tanzania.jpg
 
So you guys dont have an identity of your own as a country mpaka muwe influenced na westerners. That is very gross.
Kenyans mix their own culture plus western culture. Wakenya ni wakabila mbaya kuliko ata nyinyi wadanganyika so you cannot lecture us about culture. A normal Kenyan can speak 3 languages swahili, English and local language
 
Hii ni mbaya...hakuna umaskini mbaya kama ule wa kupoteza asili yako, tamaduni zako nk...

Huko ni kujikataa, kutojiamini na ni rahisi mtu yoyote kukutumia anavyotaka....

Kenya is still colonized despite ya wazee wa MauMau waliokufa kwa ajili yenu...
It's so pity...ptu!!
Kenyans wanapenda kabila zao kuliko nyinyi wadanganyika mnaopenda kujifanya wa swahili waarabu nyote.
 
Hii ni mbaya...hakuna umaskini mbaya kama ule wa kupoteza asili yako, tamaduni zako nk...

Huko ni kujikataa, kutojiamini na ni rahisi mtu yoyote kukutumia anavyotaka....

Kenya is still colonized despite ya wazee wa MauMau waliokufa kwa ajili yenu...
It's so pity...ptu!!
Alafu hayo majengo yenyewe wanayowaiga USA wanayajenga kijuakali juakali sn, likiletwa hapa jengo la Kenya na lile waliloiga USA ni mbingu na ardhi.
 
Back
Top Bottom