Usisahau elevated, surface and underground commuter rail networks zitakuwepo hapo kijijini in 5 years.Hizo basi tano.? [emoji1787][emoji1787] Ikifika 2027 njia zote Kubwa DAR zitakua na BRT lanes already + electric trains [emoji581] + modern stadias.. ooh nilisahau kuhusu DODOMA itakua pia imeshapata football stadium and modern indoor arena.. Kwakifupi hakuna chochote cha ajabu kitakachokua mtaishinda Tz by that time..
Mjini kutakuwa na zile mitungi ya changaa kutoka Spain.