Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hata kwasasahiv kuna BRT huko kwenu.? Nilikua najaribu kukwambia kwamba kwa kipindi hiko tutakua far better vile mtatubu
I admire your BRT though it’s not well organized based on what I regularly see posted on social media …. Lakini bado Nairobi is in early stages of proper mass transit … wait and see what we will unveil… utastuka !
 
Proper mass transit kwa matatu.? 🤣🤣🤣 U mast be fuckin crazy .. DAR iko mbele ya Nairobi by far likija suala la usafiri.

Ukiachana na daladala, BRT n.k Dar pia Iko Port which is popularly known for the ferris between the city and Zanzibar..

Sasa no mass transit ipi ambayo Nairobi Iko ahead of DAR.? 🤣🤣🤣 Labda kupaa na ungo
 
Proper mass transit kwa matatu.? 🤣🤣🤣 U mast be fuckin crazy .. DAR iko mbele ya Nairobi by far likija suala la usafiri.

Ukiachana na daladala, BRT n.k Dar pia Iko Port which is popularly know for ferris between the city and Zanzibar..

Sasa no mass transit ipi ambayo Nairobi Iko ahead of DAR.? 🤣🤣🤣 Labda kupaa na ungo
Bro usipoteze muda na huyo kenge yuko hapa kwa ajili ya kuvuruga hii thread washajua ukweli sasa wanafanya njama zao jua jinsi gani ya kuishi nao
 
Ndanda boys high school (public school)
20230515_210233.jpg
 
Sina Machungu boss …. Am just stating facts …. Ukweli Wa mambo ….
Lazima uumie mzee, ningekua wewe pia ningeumia.. imagine BRT phase 1 pekee Iko na buses 200+ and bus station 27 .. phase 2 and 3 zipo under way 🤣🤣 Ni buses ngapi unadhani zitakuepo after we have all the projects done ✅.. halafu uko hapa kupiga nduru ati NAIROBI Iko ahead of DAR kwenye mass transit. Huo si ni ukichaa au kujifariji.. ndio mana nikasema wewe jifariji wala hakuna mtu atakukataza 🤣🤣
 
Kuna bank nimeingia nimekuta (kwa kenya shs)
buying ni 16 Tshs (kamili, no points) na Selling ni 24 Tshs (kamili, no points)
Wachumi. Hii maana yake ni nn? Kwann selling ni 24 Tshs?

[emoji23] Mambo haya labda

IMG_7175.png
 
Proper mass transit kwa matatu.? 🤣🤣🤣 U mast be fuckin crazy .. DAR iko mbele ya Nairobi by far likija suala la usafiri.

Ukiachana na daladala, BRT n.k Dar pia Iko Port which is popularly known for the ferris between the city and Zanzibar..

Sasa no mass transit ipi ambayo Nairobi Iko ahead of DAR.? 🤣🤣🤣 Labda kupaa na ungo
You are jumping the gun… sikusema we are better kwa BRT but we are on the way there…. Be patient… utaona hivi karibuni…..but mambo ya port wachana nayo … we all know who’s the king of port ukanda huu… na sio Dar…🤣🤣
 
Hiyo port ukiachana na kupokea mizigo, kumbe pia kuna means of mass transit pia Eeh.? 🤣🤣 Kumbe kuna boti za kwenda wapi vile.? 🤣🤣🤣
 
Nye nye nye sisi tuna GDP kubwa sasa kwann wanalia 🤣🤣🤣🤣

Inflation and high cost of living is being felt everywhere… lakini maybe our government approach might be wanting… hata the French went onto the streets… I reside in the USA and my food budget has doubled since last year… luckily am blessed and I can deal with it.. but the real hustlers back home are not that lucky … I like Ruto’s idea of subsidized production… let’s wait and see what positive effect it will bring in 2 months time…. If only Tanzanians could speak their minds freely…… there are inflation problems everywhere. The world is one economic village…
 
I will … it’s called google earth….it goes all the way to my front gate.. but on one condition…. Stick to the topic at hand .. don’t goalpost me like if I show you houses don’t say you bet the inside is empty and similar nonsense that you guys are famous for… deal??.. if you promise to stay grown up and not waste my time I will help you my friend…

Again hadithi za alfa lela ulela, fairytales.
Mzee leta jina la kaunti unatokea hapo banana république of kunyaland tuone hayo maajabu,
Rest assured we know your poor desert inside out.
ea33f7ad-fa62-4b6e-86e0-edfc141d0565.jpg
 
Chose any region in Tz tukushushie mapicha ya maana.
I dare you to start a new thread of rural battle…. But i like the way you put the word maana… i smell fear all the way here…. Chicken little….🤣🤣🤣🤣🤣
 
Again you are dwelling on coastal strip where most people are squatters with no title deeds…. Tembea other rural areas….. Limuru, Naivasha, Nanyuki, Kericho etc..Utajua hujui… There is a reason neighbors come to Kenya kama ulaya…

What about Garisa, turkana, Moyale, Kilifi kule kwa kina pastor Mackenzie, Kitui, Mandera, samburu, kisumu, baringo, homabay, pokot, waajir, busia, huko levels za poverty zikoje ? Millions of Kunyans are starving to death as we speak.
 
Back
Top Bottom